Antar bin Shaddad
JF-Expert Member
- Oct 11, 2010
- 202
- 101
Usiku wa kumkia juzi watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi wamevunja ofisi za kampuni ya wawekezaji kutoka South Afrika ya uchimbaji madini ya TanzaniteOne Mererani wilayani Simanjiro na kuondoka na madini yenye thamani ya Mabilioni ya fedha, ingawa thamani halisi bado haijafahamika. Hivi sasa polisi kutoka Mkoani Manyara na wengine kutoka Arusha wako hapa eneo la tukio wakianza uchunguzi na kuhoji wafanyakazi mbalimbali na mameneja.Huu utakuwa uwizi mkubwa na kwanza wa madini hapa nchini na tukio litaaingia katika historia.Taarifa zaidi tutawajuza baadaye.
Source:Mi mwenyewe kutoka eneo la tukio.

Hivi sasa polisi kutoka Mkoani Manyara na wengine kutoka Arusha wako hapa eneo la tukio wakianza uchunguzi na kuhoji wafanyakazi mbalimbali na mameneja.Huu utakuwa uwizi mkubwa na kwanza wa madini hapa nchini na tukio litaaingia katika historia.Taarifa zaidi tutawajuza baadaye.
Source:Mi mwenyewe kutoka eneo la tukio.
kama ni weusi..big up mbaya..naona malandcruiser lx yakifurika a town kama njugu vile..big up sana..Usiku wa kumkia juzi watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi wamevunja ofisi za kampuni ya wawekezaji kutoka South Afrika ya uchimbaji madini ya TanzaniteOne Mererani wilayani Simanjiro na kuondoka na madini yenye thamani ya Mabilioni ya fedha, ingawa thamani halisi bado haijafahamika. Hivi sasa polisi kutoka Mkoani Manyara na wengine kutoka Arusha wako hapa eneo la tukio wakianza uchunguzi na kuhoji wafanyakazi mbalimbali na mameneja.Huu utakuwa uwizi mkubwa na kwanza wa madini hapa nchini na tukio litaaingia katika historia.Taarifa zaidi tutawajuza baadaye.
Source:Mi mwenyewe kutoka eneo la tukio.
Wamejiibia hao ule ulinzi uliopo pale hao wezi waliingiaje? waache kututania wanataka kulipwa insurance hamna lolote