TanzaniteOne Mining Ltd Wabadilisha dini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TanzaniteOne Mining Ltd Wabadilisha dini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kinyungu, Aug 24, 2011.

 1. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 3,571
  Likes Received: 1,956
  Trophy Points: 280
  Yale mazingaombe ya makampuni ya kigeni ya kujivua gamba kwa kujibadilisha jina kila wanapojisikia limerudi tena nchini na safari hii kampuni ya TanzaniteOne Mining ltd inayojihusisha na uchimbaji wa madini ya Tanzinite huko mkoani Arusha imejibadilisha jina na sasa inaitwa Richland Resources Ltd. Haijajulikana kwa nini kampuni hii imejibadilisha jina ikiwa ni mara ya pili sasa tangu iingie mjini.

  Source mimi mwenyewe
   
Loading...