Mkuu wengi wamechoka asikwambie m2 wameuza nyumba mana walijua mgodi w baba yao ila wenye akili wako njema....hussein n faisal wanapiga nguzo n bomu kma apolo instead y kusukuma shaft wanazidiwa n migodi y wazawa
Tanzanite bado ipo sana migodi inayofanya kazi kiuhakika wanapata tu
Ndugu yangu unanisikitisha sana, hivi inamaana wote au kuna baadhi waliojiwekea hata miradi inayoelekea kuja kuwapa japo kipacho cha familia au ni wote wamechoka. Nipe japo mifano michacheMkuu wengi wamechoka asikwambie m2 wameuza nyumba mana walijua mgodi w baba yao ila wenye akili wako njema....hussein n faisal wanapiga nguzo n bomu kma apolo instead y kusukuma shaft wanazidiwa n migodi y wazawa
Tanzanite bado ipo sana migodi inayofanya kazi kiuhakika wanapata tu
Yaani Hussein ni mtu wa ajabu kweli kweli ukiwa Mrangi hata kama hujui kusoma na kuandika wewe boss.Warangi wengi kawachukua huko kwa hata kiswahili shida siku wakirudishia mlango sijui watakwenda wapi.
Kiujumla upande wa madini kumeshajifia, naona dogo wa kihindi nae kanunua maduka, nilishangaa kweli dogo na duka la vifaa vya umemre leo ndio tunaambiwa anachukua yale maduka ya wazungu, hii ndio TZ aisee, maajabu kama haya yanapatikana hapa kwetu tu.
Inamaana hakuna hata mmoja aliyejiwekea kitegauchumi kinachoelekea kumuweka mjini kwa miaka ijayo? Mi nawajua wala starehe walikuwepo kwenye hiyo orodha ya waliotoka pale ila kwa kweli siwezi kuamini kama wote wamechezea nafasi zao. Hebu nitajie aliye na muelekeo japo kidogo na anafanya nini sasa hivi
Kuna kijana mmoja nae nasikia kajitahidi sana, kajenga club yenye restaurant maeneo ya usa river. Hongera zao bana, wajitahidi kupambana maana starehe na maisha havitakiwi kabisaMarehemu seki alikua vizuri 2 kuna gilyard,mzee d,justine,urasa etc wako vizuri 2 vitega uchumi wamejenga sana n maisha yako poa
Nilikuwa natokea KIA kwenda Arusha jamaa wakanionyesha nilitamani sana kuingia ila muda ukawa tight sanaKuna kijana mmoja nae nasikia kajitahidi sana, kajenga club yenye restaurant maeneo ya usa river. Hongera zao bana, wajitahidi kupambana maana starehe na maisha havitakiwi kabisa
Nilikuwa natokea KIA kwenda Arusha jamaa wakanionyesha nilitamani sana kuingia ila muda ukawa tight sana
Anaitwa Picnin, ndiye mmiliki wa hiyo club. Kuna mmiliki wa baa maarufu ya Cet garden, naye pia alikuwa mfanyakazi wa TanzaniteOne.
Nilikuwa natokea KIA kwenda Arusha jamaa wakanionyesha nilitamani sana kuingia ila muda ukawa tight sana
Huyo alikua gemhouse kala sana happy angekua n biashara n majumba yakutosha....ila sio haba
Pikinini alitakiwa awe mbali sana kala hela sana kwenye starehe.....angetulia n kuwekeza mjini apartments angekua gumzo
Mimi nahisi ni maneno tu kwa huyo kijana, kwa kweli kafanya kitu kizuri na anastahili pongezi za pekee, kwan ni vijana na watu wakubwa wangapi hawajafikia alipo yeye mda huu. Kajiweka level za kina Papaa wa Triple A kwa alichokifanya. Wangapi wamefanya kitu kama yeye kwa waliotoka na waliopo Tanzanite One mpaka muda huu? Tumpongeze kijana kaweza. Hata mtu kama Chusa ana mradi kama wake? paoja na kutoa mawe miaka yote
Mimi nahisi ni maneno tu kwa huyo kijana, kwa kweli kafanya kitu kizuri na anastahili pongezi za pekee, kwan ni vijana na watu wakubwa wangapi hawajafikia alipo yeye mda huu. Kajiweka level za kina Papaa wa Triple A kwa alichokifanya. Wangapi wamefanya kitu kama yeye kwa waliotoka na waliopo Tanzanite One mpaka muda huu? Tumpongeze kijana kaweza. Hata mtu kama Chusa ana mradi kama wake? paoja na kutoa mawe miaka yote
ivi chusa ameekeza kokote kweli??? naona tadei ndo kafungua kipub
Ila Pikini iltakiwa awe mbali zaidi ya hapo coz baada ya kupigwa risasi alikuwa anaachiwa kwa makusudi bila kusachiwa ili aweze kupita na mawe yaweze kumsaidia mbeleni so kama tweenty4seven alivyosema jamaa kajitahidi ila si level yake ilitakiwa awe mbali sana zaidi ya hapo..Japo anakakijiji pale majiyachai pamoja na supermarket na Usa ile club ila kwa nafasi aliyokuwa nayo na kilema alichokipata badoMimi nahisi ni maneno tu kwa huyo kijana, kwa kweli kafanya kitu kizuri na anastahili pongezi za pekee, kwan ni vijana na watu wakubwa wangapi hawajafikia alipo yeye mda huu. Kajiweka level za kina Papaa wa Triple A kwa alichokifanya. Wangapi wamefanya kitu kama yeye kwa waliotoka na waliopo Tanzanite One mpaka muda huu? Tumpongeze kijana kaweza. Hata mtu kama Chusa ana mradi kama wake? paoja na kutoa mawe
miaka yote
Ila Pikini iltakiwa awe mbali zaidi ya hapo coz baada ya kupigwa risasi alikuwa anaachiwa kwa makusudi bila kusachiwa ili aweze kupita na mawe yaweze kumsaidia mbeleni so kama tweenty4seven alivyosema jamaa kajitahidi ila si level yake ilitakiwa awe mbali sana zaidi ya hapo..Japo anakakijiji pale majiyachai pamoja na supermarket na Usa ile club ila kwa nafasi aliyokuwa nayo na kilema alichokipata bado