Tanzanite hospitali Mwanza wanatumia Bima?

Tanzanite hospitali Mwanza wanatumia Bima?

Jambo Tz

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
670
Reaction score
203
Ni hospitali ya kisasa iliyoko jijini Mwanza napenda kujua wajuzi wanijuze.

Je, Hospitali hiyo wanatumia bima?
 
Tanzanite hospital ipo hapo Iseni Ukitoka bohari karibu na Idara ya maji, Ndio ilikuwa tawi la uhuru hospital, Sasa sijajua huyu Dr Nyasebo kauza Hiyo hospital kaamua tu kubadili jina!!!
 
Tanzanite hospital ipo hapo Iseni Ukitoka bohari karibu na Idara ya maji, Ndio ilikuwa tawi la uhuru hospital, Sasa sijajua huyu Dr Nyasebo kauza Hiyo hospital kaamua tu kubadili jina!!!
pale sasahivi naona kama ni uhuru hospital
 
Tanzanite hospital ipo hapo Iseni Ukitoka bohari karibu na Idara ya maji, Ndio ilikuwa tawi la uhuru hospital, Sasa sijajua huyu Dr Nyasebo kauza Hiyo hospital kaamua tu kubadili jina!!!
Imeanza lini maana miaka 10 iliyopita, hakukuwa na Hospital hapo maeneo ya Iseni
 
Imeanza lini maana miaka 10 iliyopita, hakukuwa na Hospital hapo maeneo ya Iseni
Upo sahihi mkuu, Ila nikueleze ndani ya miaka 10 Hiyo Mwanza zimeibuka hospitali nyingi Sana na za kisasa, Happ Iseni ilipo idara ya maji mwanzoni kabisa ilikuwa inajengwa Shule iliyoitwa International School of Mwanza!! Ila haikukamilika ikauzwa nafkri na kubadirishwa kuwa Branch ya Uhuru hospital ambayo nyingine na ya muda kidogo ipo kule mtaa wa rufiji Kama sijakosea!

Kama una miaka 10 hujafika Mwanza Basi Kuna nyingine maeneo ya ngegezi stand Inaitwa kamanga hospital nayo ni yakisasa haswa, Mwaka Jana Kuna clinic ilikuwa Inaitwa St Clare clinic ipo mkolani Nyahingi nimepita juzi imeshakamlika majengo na kila kitu huduma za kisasa Hadi CT Scan na sahv Inaitwa St Clare Hospital!!
 
Upo sahihi mkuu, Ila nikueleze ndani ya miaka 10 Hiyo Mwanza zimeibuka hospitali nyingi Sana na za kisasa, Happ Iseni ilipo idara ya maji mwanzoni kabisa ilikuwa inajengwa Shule iliyoitwa International School of Mwanza!...
Nimeondoka rasmi Mwanza mwaka 2011, Nyegezi, Mkolani, SAUT, Sweya ndio ilikuwa mitaa yangu hiyo. Bila kusahau mjini kwa ujumla.

Hadi naondoka mwaka huo, hayo yote uliyoyaeleza yalikuwa bado kabisa. Ndani ya miaka 10 mapinduzi makubwa yamefanyika sana huko kama ulivyoeleza.

Hospital ya Butimba ambayo ndio Hospital ya Wilaya ya Nyamagana ndio ilikuwa tegemeo kwa mitaa hiyo wakati ule.
 
Back
Top Bottom