Buyaka
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 1,646
- 1,788
Good step in the right direction, at least umenyoosha maelezo kwamba huhitaji "mix" kuweza kuongoza.Suala la Nyerere kufunga watu liongelee kwa ushahidi na mifano.
Wewe umetoa ushahidi na mifano ya unyenyekevu wa Nyerere? Kama hujui kwamba watu walifungwa kisiasa wakati wa Nyerere basi sidhani kama tutafika mbali kimjadala.