Tanzania's fashion industry is doing wonders, cheki vipaji hivi.

Leornado

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
1,529
196









Just to mention the few, ni fashionista RIO, JOKATE, na FIDE aka GAGA.

Kwa kweli wabunifu wa ndani wanajiahidi. Big up
 
Big up kwao ila 2nataka kukua ktk kiwango flani cha mitindo(((waka 2wakilishe vyema hadinje yanchi,wapunguze skendo chafuchafu))).
 









Just to mention the few, ni fashionista RIO, JOKATE, na FIDE aka GAGA.

Kwa kweli wabunifu wa ndani wanajiahidi. Big up

Duuh, ukosefu wa ajira ni kitu kibaya sana, unaweza kujikuta unafanya kitu ambacho si kipaji chako!
 
WELL,umodel,fashionist or whatever we call it,naona mafanikio ni makubwa but je wanachopata ni publicity na peanut money AU kuna wanaofaidika na bank balance zilizonona-because the way i see it naona wengi wao ni just being in the spotlight na hand to mouth existence
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…