Tanzanians, show us your roads

Tanzania ile moja nayoijua au nyingine, leo kwanza pale Jangwani hapapitiki jamaa kwao kamvua kakinyesha kadogo wanafunga barabara kubwa ya kwenda mikoani, hili tatizo limekua siku nyingi hawalitatui kero tu na kuja kutunisha misuli dhidi ya Kenya. Watanzania mnafaa kuiga Wakenya kwa hili la barabara, kwanza hapo Jangwani wekeni daraja (overpass) itoke pale Usalama na kushukia Fire, kama hii hapaa tuliyojenga Nairobi

globe-roundabout-1-now.jpg



Hebu ona hii video wanavyoteseka


jirani inaonekana we mwenyeji hapa Bongo kwa jinsi unavyotaja majina
 
Mnapost vibatabara vya mijini tunataka kujua watu wa counties wanasafirije, Watu wa kule Lamu wanasafirije?
 
It is better to close the thread wakenya mwataka kutuvua nguo.....nothing to compare, labda the things that God created, like the Sun,Moon,Air and the like .

Msema kweli daima Mungu humpenda.

Unajua watu wengi kwa sabau ya kutosafi sana, hawajui yaliyoko kwa jirani.
Kule kiijijini kipindi cha nyuma mtu akiwa na baiskeli, Redio au mwalimu, anajulikana kijiji kizima.Kwa sasa ukiulizia watu wenye baiskeli, radio au mwalimu, kila kona yupo.
 
Please Note, This thread includes whole road infrastructures including Bridges and Weigh-bridges,
 
Back
Top Bottom