The Ebony Mermaid
Member
- Feb 17, 2017
- 17
- 1
- Sign the Petition!
Daniel Schulman: Tanzanians need to receive funds via PayPal
Daniel Schulman: Tanzanians need to receive funds via PayPal
Anacholalamikia huyu bw. Daniel Schulman sikielewi!(Pengine kwa kuwa maisha yangu hayahitaji huduma ya paypal)- Sign the Petition!
Daniel Schulman: Tanzanians need to receive funds via PayPal
Ngoja Nimsaidie Kidogo Mleta Mada...Anacholalamikia huyu bw. Daniel Schulman sikielewi!(Pengine kwa kuwa maisha yangu hayahitaji huduma ya paypal)
Mleta mada ungefafanua zaidi umuhimu wa hiyo benki ya paypal ningeelewa na kusign hiyo petition.
Asante, nimepata mwanga kiasi.Ngoja Nimsaidie Kidogo Mleta Mada...
Mwaka Juzi Wakati Nafanya Online Shopping "Ebay", Nilikua Nanunua Vifaa Flani Kwa Ajili Ya Kuviuza Kwa Wanafunzi Wa Project Wa Vyuo Wa Vyetu. Hivi Vifaa Vilikuwa Nilazime Vipatikane Ili Hawa Wanafunzi Wa Sayansi Waeze Kutunukiwa Shahada Yao Na Vilikuwa Havipatikani Tz Zaidi Ya Maduka Ya Nje Ya Nchi (Na Hapa Sasa Ndio Utaona Umuhimu Wa Manunuzi Online)
Sasa Hili Uweze Kufanikiwa Na Hili Unahitaji PayPal Account. Account Hii Inakuwa Linked Na Account Ya Bank Yako Na Pesa Inakuwa Inakatwa Huko.
Hii Kampeni Hata Mimi NaiSupport Mana Nakumbuka Wakati Nafanya Manunuzi Yule Seller Alinitumia Mzigo PayPal Wakachukua Pesa Yangu Wakampa Seller, Ule Mzigo Haukufika Hivyo Nikawalalamikia Wale Seller Ikabidi Wani'Refund Pesa Yangu Lakini Haikufika Kwenye Akaunt Yangu Ya Benki.
Tatizo Likawa Ndio Hilo Kwamba PayPal Account Sends Money But Can Not Recieve.
Umeelewa Sasa Kuwa Fursa Nyingi Za Watanzania Zinapotea Online Kwa Sababu Ya Hiki Kitu.