Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,913
- 103,782
Geza Ulole Utaletewa hadi list ya wapiga deki hollywood. umechokoza nyuki
hahaha subiri kesho asubuhi waamke pale nairobi.nasubiri kwa hamu huu mnakasha.
lawmaina78,waltham,Bantugbro, Ab-Titchaz, Dhuks, mwitaz, livefire, Nairoberry, Koborer, Askari Kanzu,lawmaina78,mwathai,Ngongo, kadoda11,nomasana, NairobiWalker, Wacha1,Kiranga, Koba, Ndahani, Candid Scope,FaizaFoxy,The Conquerer, EMT, MziziMkavu,CattleRustler, EngineerLMG, Frank quails, Gulioni,jolyta,Jungumawe,Sinister,Bulldog, kadoda11
Manyang'au, wacheni fujo.
Kenyan flying His countries flag high helping helpless neighborone common syndrome affecting people like lawmaina78 is that, think to fly a flag high outside of the country, can only be done through athletes.my brownie points to asanterabi malima for proving it wrong.
Geza Ulole Utaletewa hadi list ya wapiga deki hollywood. umechokoza nyuki
Kenyan flying His countries flag high helping helpless neighbor
Tanzania yashindwa kupeleka kocha na watu wa kuwahudumia mabondia kwenye mashindano ya madola.Bondia Suleiman Kidunda,ahudumiwa na wakenya wakati akipigana na Kehinde Ademuyiwa wa Nigeria.
Tumeshakuchoka sasa na picha yako, vumbua kipya.
This is among sum of EAC Objectives so its your obligation also to do so.Kenyan flying His countries flag high helping helpless neighbor
Tanzania yashindwa kupeleka kocha na watu wa kuwahudumia mabondia kwenye mashindano ya madola.Bondia Suleiman Kidunda,ahudumiwa na wakenya wakati akipigana na Kehinde Ademuyiwa wa Nigeria.
Kenyan flying His countries flag high helping helpless neighbor
Tanzania yashindwa kupeleka kocha na watu wa kuwahudumia mabondia kwenye mashindano ya madola.Bondia Suleiman Kidunda,ahudumiwa na wakenya wakati akipigana na Kehinde Ademuyiwa wa Nigeria.
Usisubiri asubuhi, nakupa jibu sasa hivi. Kwanza nawapa hongera zao hao vijana, tofauti ya Wakenya na Wabongo ni kuwa, angekuwa Mkenya, Wabongo wangefuatilia na matusi na mikejeli kibao, ilhali sisi tunawapa hongera tu.
Pili, bendera tunapeperesha kwa kila nyanja ama sectors, sio michezo tu. Invention zetu zipo kuanzia Kenya hadi ulaya, kuziorodhesha hapa nitajaza huu ukurasa bure.
Tayari nimewatag kwenye nyuzi kadhaa zinazohusu Wakenya wanaofanya maajabu, ila baadhi yenu mnapita kimya na wengine wanarusha matusi. Tushawazoea.
Labda kukugusia tu, kijana Mkenya wa miaka 13 ndiye wa kwanza kwenye top 10 inventions za 2013 Top 10 Inventions Of 2013: Bladeless Windmills, A Cancer-Sniffing Computer Program And More [PHOTOS, VIDEO]
hahaha anairudia ili ku-draw attention from the might and humble tanzanians.huyo kamba waltham ni wa kumdharau tu mkuu. asanterabi malima amebomoa brain structure ya majirani.