Leo katika kuperuzi kwangu kwenye Internet,nimeshangazwa na kusikitishwa kwa mwakati huu tulionao kuwa Tanznaia haina TV online,Niliona StarTV iko online lakini haifanyi kazi...
Sasa kwa bahati nzuri ikaona web site moja imeweka tv zote za dunia zilizokuwa online pamoja maskini tanzania haina Tv kwenye hii web site tumeshindwa na kinchi kidogo kama Gambia na Rwanda
Tv ya taifa ya Rwanda iko juu sana na iko safi.....hapo chini nimeweka link ya hiyo website iliyokusanya tV zilizo online
sasa wadau namba kuuliza kwanini Tanzania tuko nyuma hivi kweli TBC television ya taifa inashindwa kuwa online ili watanzania waliokiwa nje ya tanzania nao wafaidike na habari na tamaduni za nyumbani
Rwanda TV - Watch Live Online from Kigali, Rwanda in English | Free English Internet TV - Odyovi