Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 11,450
- 24,709
Tukubaliane kwamba mkuu Uzi wako ungesema tu chakula anachokula mtanzania bila kutumia neno asili(tamaduni)
Nambie mayai yasiyokuwa na baba nayo yanaingia kwenye asili na hao kuku broiler? Vingi umejitaidi sana lkn pia umechemka mnoo
Nambie mayai yasiyokuwa na baba nayo yanaingia kwenye asili na hao kuku broiler? Vingi umejitaidi sana lkn pia umechemka mnoo

kwa sababu kwangu ni sehemu ya furaha kufanya hivyo nasijisikii kuchoka au kukatishwa tamaa.