Buses from Mwanza to Dar usually leave Mwanza at around 2pm, get to the Sirari border in the evening and travel through Kenya at night to get to the Namanga border in the morning. So yes it definitely was at night. Mimi namlaumu dereva wa basi because from the story, alibeba abiria wa ziada from Kericho who turned out to be thugs. In Kenya, all night vehicles zikijaza abiria zinaenda kwenye kituo cha polisi, abiria wote pamoja na mizigo yao wapekuliwe ndipo waendelee na safari. Its risky kubeba abiria njiani ambao hawajapekuliwa na polisi.