The Informer
Senior Member
- Jun 14, 2010
- 119
- 29
kings of kings:
kwani wanasheria wetu wanatuambiaje kuhusu sheria ya media hapa tanzania
part vii
general provisions
duties of
government
media
cap.343
28.-(1) the candidate for the office of the president in
an election shall have the right to utilize the government
broadcasting service and television during the election campaign,
in accordance with the provisions of the national elections act.
Election expenses
22
(2) the government media shall include in their
publications information related to the electoral process without
bias and such publication shall not tamper with information or
discriminate against any candidate.
Sasa sijui tunalalamika nini hapa bado niko kwenye giza kwasababu media za serekali zinampa nafasi zaidi aliyeko madarakani au vipi.
asalaam aleykum,
taarifa nilizokuwa nazo ni kuwa chama cha mapinduzi kimeunda kamati
ya propaganda kwenye kampeni za uchaguzi inayo ongozwa na prince bagenda
akisaidiwa na muhingo rweyemamu.
kamati hii ndiyo inayofanya kazi za kumchafua dk. Willibrod slaa kupitia magazeti na waandishi walionunuliwa na ccm.
Magazeti haya yakiandika habari za ndoa ya slaa au taarifa zozote za uzushi, basi hununuliwa nakala zote na ccm na kugawiwa bure kwenye mikutano ya chama hiko.
Pia, ccm imekuwa inaongoza kwa kutoa rushwa kwa waandishi wa habari kwenye kampeni zao. Posho ambayo ccm inatoa kwa waandishi wa habari kwenye kampeni zao ni zaidi ya mara mbili ya posho inayotolewa na vyama vya upinzani.
Vifuatavyo ni viwango vya posho (daily allowances) ambazo timu za wagombea wa urais zinatoa kwa waandishi wa habari:
1. Jakaya kikwete (100,000/-)
2. Dk. Willibrod slaa (45,000/-)
3. Prof. Ibrahim lipumba (40,000/-)
waandishi wa habari wote sasa hivi wanakimbilia kuwepo kwenye timu ya kampeni ya kikwete kwani huko ndiko kwenye pesa nyingi. Wanalipwa milioni 1 kwa siku 10 tu.
Hii ndiyo maana kuwa wamekuwa wakitumwa na ccm kuandika habari za kumpamba jk na mwandishi anayeandika habari tofauti na matakwa ya ccm anatimuliwa kwenye posho.
Kulipwa posho kwa waandishi na vyama vya siasa ni kinyume kabisa na maadili ya uandishi wa habari na ni ishara kuwa waandishi, wahariri na wamiliki wa vyombo vya habari tanzania wananunulika kirahisi.
kings of kings:
kwani wanasheria wetu wanatuambiaje kuhusu sheria ya media hapa tanzania
part vii
general provisions
duties of
government
media
cap.343
28.-(1) the candidate for the office of the president in
an election shall have the right to utilize the government
broadcasting service and television during the election campaign,
in accordance with the provisions of the national elections act.
Election expenses
22
(2) the government media shall include in their
publications information related to the electoral process without
bias and such publication shall not tamper with information or
discriminate against any candidate.
Sasa sijui tunalalamika nini hapa bado niko kwenye giza kwasababu media za serekali zinampa nafasi zaidi aliyeko madarakani au vipi.
Asalaam Aleykum,
Taarifa nilizokuwa nazo ni kuwa Chama Cha Mapinduzi kimeunda kamati
ya propaganda kwenye kampeni za uchaguzi inayo ongozwa na PRINCE BAGENDA
akisaidiwa na MUHINGO RWEYEMAMU.
Kamati hii ndiyo inayofanya kazi za kumchafua Dk. Willibrod Slaa kupitia magazeti na waandishi walionunuliwa na CCM.
Magazeti haya yakiandika habari za ndoa ya Slaa au taarifa zozote za uzushi, basi hununuliwa nakala zote na CCM na kugawiwa bure kwenye mikutano ya chama hiko.
Pia, CCM imekuwa inaongoza kwa kutoa rushwa kwa waandishi wa habari kwenye kampeni zao. Posho ambayo CCM inatoa kwa waandishi wa habari kwenye kampeni zao ni zaidi ya mara mbili ya posho inayotolewa na vyama vya upinzani.
Vifuatavyo ni viwango vya posho (daily allowances) ambazo timu za wagombea wa Urais zinatoa kwa waandishi wa habari:
1. Jakaya Kikwete (100,000/-)
2. Dk. Willibrod Slaa (45,000/-)
3. Prof. Ibrahim Lipumba (40,000/-)
Waandishi wa habari wote sasa hivi wanakimbilia kuwepo kwenye timu ya kampeni ya Kikwete kwani huko ndiko kwenye pesa nyingi. Wanalipwa milioni 1 kwa siku 10 tu.
Hii ndiyo maana kuwa wamekuwa wakitumwa na CCM kuandika habari za kumpamba JK na mwandishi anayeandika habari tofauti na matakwa ya CCM anatimuliwa kwenye posho.
Kulipwa posho kwa waandishi na vyama vya siasa ni kinyume kabisa na maadili ya uandishi wa habari na ni ishara kuwa waandishi, wahariri na wamiliki wa vyombo vya habari Tanzania wananunulika kirahisi.
These rates should have been controlled by the electoral commission; am I wrong?1. Mr. Jakaya Kikwete (100,000/-)
2. Dk. Willibrod Slaa (45,000/-)
3. Prof. Ibrahim Lipumba (40,000/-)
use it to free others tooI love my freedom!!!!!!!
1. Jakaya Kikwete (100,000/-)
2. Dk. Willibrod Slaa (45,000/-)
3. Prof. Ibrahim Lipumba (40,000/-)