Tanzanian journalists for sale?

Naifananisha taaluma ya uandishi wa habari na habari za kubakwa kwa wanawake huko Congo. Japo majibwa hapa nchini yanajiita watchdogs lakini ni Lapdogs na wameamua kubaka taaluma hii tena kinyume na maumbile SHAME ON YOU! unakaa mahali unajiita wewe muandishi wa habari huna aibu!!!!

Mnatia aibu ni kama Hayati Chachage alivyowaita WAANDISI WA HABARI, mimi nawaita VIJIBWA KOKO VYA HABARI, eti muandishi unasubutu kusema uchaguzi umefika ni wakati wa kumalizia kibanda changu, kununua gari, kiwanja, shame on you, hustaili hata kufungua gazeti na kulisoma maana unatia najisi taalumua na hiyo nyumba unayojenga kwa kulamba watu miguu itakuwa ni laana kwa watoto wako na vizazi vyako vijavyo...
 
Kinachoboa ni magazeti ya serikali kutumika kwa kampeni za chama mfano, Habari leo, Daily news
 
Hili la waandishi wa habari kutumika halina mjadala. Ukitaka habari yako itoke basi wapo wanaotaka posho...Njaa nuksi. Kwa upande mwingine, wako waandishi wa habari tuliokua tukiwashangilia kwa sababu ya kufatilia ufisadi na kuandika habari tunazotaka kusikia, lakini wakiandika habari ambazo hatutaki kuzisikia (zinazowagusa watu wetu) basi tunaanza kuchonga, japo hizo habari ni za kweli...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom