Tanzanian graduates learn something from this courageous Nigerian guy.

hapo wabongo tuige nin kipya sasa maana sioni lolote lipya ambalo wabongo hawajalifanya?
 
Hata mimi sioni jipya, maana kama ni Entrepreneur hata sisi tunao tena wanatengeneza mpka helkopta
 
hapo wabongo tuige nin kipya sasa maana sioni lolote lipya ambalo wabongo hawajalifanya?
Anawafundisha ujasiri. Kuacha ajira nzuri Microsoft ili kutimiza ndoto zako. Wabongo wachache sana wanaweza kama wapo anyway!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…