DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,291
- 29,485
Nn
Anawafundisha ujasiri. Kuacha ajira nzuri Microsoft ili kutimiza ndoto zako. Wabongo wachache sana wanaweza kama wapo anyway!hapo wabongo tuige nin kipya sasa maana sioni lolote lipya ambalo wabongo hawajalifanya?
Anawafundisha ujasiri. Kuacha ajira nzuri Microsoft ili kutimiza ndoto zako. Wabongo wachache sana wanaweza kama wapo anyway!