Tanzanian Child

Abby Newton

JF-Expert Member
Nov 12, 2017
1,227
2,197
Hizi ndio kazi wanazofanya watoto wetu wa vijijini kipindi hiki cha kufungwa shule kutokana na gonjwa la Corona.

Nikajiuliza moyoni, je wanapata muda wa kujifunza masomo kupitia elimu mtandao inayorushwa kwenye TV mbalimbali? Vipi kama mtukufu angepiga lock down kwa familia zetu hizi tungemaliza hata siku 3 kweli?

IMG_20200509_121718_798.jpg
IMG_20200509_121607_627.jpg
IMG_20200509_121504_540.jpg
IMG_20200509_121738_851.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • IMG_20200509_121741_051.jpg
    IMG_20200509_121741_051.jpg
    113.4 KB · Views: 1
Hizo ni kazi za kawaida tu hata kipindi wakiwa wapo shule wakirudi jioni lazima wateke maji na kuokota kuni.

Labda uilaumu serikali tu kwa kuuza gesi yetu na watu kushindwa ku afford kuitumia matokeo yake ni kukata miti na kupikia kuni.

Labda uilaumu serikali kwa kushindwa kutumia kodi za wanyonge kufikisha huduma bora za maji japo ina uwezo lakini wameamua kutumia hizo hela kuminya wapinzani.
 
Back
Top Bottom