eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,780
- 16,455
Hehehe!! Aisei nimecheka sana jirani, hata unaweza kuwa naye kwenye kikao unakenua meno na kumsifiasifia huku simu ikiwa JF kisiri unatoa yako ya moyoni.
Duuu ndo MAANA sisi kizazi hiki LAZIMA masihi atukatae.
Very pathetic, hawa ndio adui zenu nambari moja. I wish ingekuwa Kenya, Yohana angejionea mengi tu. Nalendwa, 26th??

