Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Watu wawili wamepoteza maisha kwa mshituko wa kupata taarifa za kifo cha Kanumba.Mmoja yupo hospital kapoteza fahamu. So Kanumba kauwa wengi kuliko LuLu.
 
Jamani tuwe na huruma. Naona ajabu watu wanamlaumu marehemukwa uhuni na kuwa msela bila sababu. Mie naona heri yake ambaye hajaacha vitotovisivyotambulika kama wanaotetea ujinga wa baba yake ambaye alimtelekeza lakinialipoona amefanikiwa anakuja kuvuna asipopanda. Hili ndilo tatizo la watanzaniawengi. Wanapenda kulaumu mlipodondokeabadala ya kulaumu mlipojikwaa. Hivi unapomkana mwanao halafu akikukana si ndiyohaki? Ulimkana akiwa hajijui sasa anajijua sioni ubaya akikulipa hivyo hivyo.Uzazi si kutungisha mimba bali kulea jamani wote tuna watoto tunajua uchungu wamwana. Mzazi asiye na uchungu wa mwana basi si mzazi ni mzazi bahati mbaya.
 
Roho imeniuma sana kumpoteza huyu bwana, ukizingatia mimi nilikuwa nadiss sana hawa wasanii wa Swahilihood, maisha yao yalivyokuwa ya maigizo, jinsi wasanii wa kike walivyokuwa hawana tofauti na makahaba, pamoja na tasnia nzima kuendeshwa kimazoea badala ya kitaalamu. Angalau Uncle JJ alionesha mwanga na alikuwa akinivuta kutazama filamu za nyumbani.
Jinsi alivyoishi maisha yake alionekana kuwa mtu asiyependa makuu pamoja na umaarufu wake. Aliijua vyema sanaa, pengine kuliko msanii yoyote katika soko la filamu za kitanzania (sio sifa za marehemu, ni kweli), pia alijua jukumu lake katika jamii hasa unapokuwa mtu maarufu na mfano wa kuigwa, alijitahidi kuficha hata uhusiano wake na Lulu, nadhani ili usije kuwa na athari kwa watu ambao kwao amekuwa mfano wa kuigwa, hakika alikuwa msanii anayejitambua.

Hakika (si utani), tasnia ya filamu humu nchini itachukua muda kupata mtu wa kaliba yake.
Ameondoka, lakini urithi aliotuachia utadumu hata mwisho wa dahari...
 
Last edited by a moderator:
Tulitoka mavumbini na mavumbini tutarudi
RIP kanumba umetangulia na sisi tuko nyuma yako
 
Gone too soon, R.I.P Kanumba,
je sisi tuliobaki twajifunza nini kwa maisha na kifo chake?

Tunachojifunza ni kuwa na maisha ya utakatifu yanayompendeza mungu siku zote
pale tunapoanguka tunatubu na kuendelea na safari yetu
Mpaka pale zamu yetu ikiwadia
 
Its not easy being an african! Hivi wazungu wakigombana na baba zao huwa wanaachiwa radhi pia?
 
Alıpendwa na watu warıka zote kwa sababu ya movıe!nımeamını movıe zınapendwa kulıko hıphop
 
Kumbe mama yake Kanumba anaishi Bukoba, je mama yake muhaya?


BUKOBAWADAU BLOG: MAMA MZAZI WA KANUMBA NI MWENYEJI WA IZIGO -ITOJU KABOYA WILAYA YA MULEBA KAMA ALIVYO ONGEA NA BUKOBAWADAU BLOG


BUKOBAWADAU BLOG: MSIBA WA KANUMBA NI SIMANZI NA MAJONZI KWA MAMA YAKE MZAZI BI FLORA NA NDG NA JAMAA WALIOPO BUKOBA;Matukio ya Air Port Bukoba

ndo anaelekea Dar leo

picha kwenye link above


alg+1.jpg

8.jpg


12.jpg
 
Mvua za watu kama huyu "chief of protocal" mtaziona sana tu this time, mana toka majuzi, huwezi soma uzi wowote hadi u-log in, which means uwe registered na matokeo yake ndo haya!

Wameharibu sana...huu utaratibu sio mzuri.
 
R.I.P Kanumba ila umetuachia funzo kuwa wazazi ni MUNGU wa pili duniani ...LULU sasa kwako yametimia ni zamu ya dunia kukufunza walimwengu tulishatimiza wajibu wetu lakini hukutusikia

Mzushi wacha maneno yako ya LULU msiyape kipaumbele sana kwenye kifo cha msanii wetu kwani hayana mantik kama kahusika moja kwa moja...tusubiri mkono wa dola tuangalie unasemaje,usipende mtoto wa mwanamke akaupate moto wa mle haufai kabisa hata kusimuliwa kabisa.
 
COP yuko quite right anawakumbusha na wengine musifanye makosa ya kudharau wazazi wenu. Mtu mwenye akili timamu huwezi kuropoka yale maneno kwenye vyombo vya habari dhidi ya baba yako. Never

Naomba mtufahamishe nasisi tusiojua, marehem S.K aliropoka nini dhidi ya baba yake?
 
R.I.P Kanumba ila umetuachia funzo kuwa wazazi ni MUNGU wa pili duniani ...LULU sasa kwako yametimia ni zamu ya dunia kukufunza walimwengu tulishatimiza wajibu wetu lakini hukutusikia

Mkuu, yaelekea unaongelea kitu ambacho pengine wengi hatukijui. Kifo chake na wazazi na ninyi.....Mbona sielewi? Tafadhali nyambulisha basi, usituache gizani. Kwani kafa kwa laana ya wazazi, au?
 
Hee hichi kitoto kidogo lakini kinanguvu kiasi cha kumuangusha Marehemu Kanumba Mmm ......ama kweli ukizarau mwimba Mguu hufanya tende.
 
Back
Top Bottom