inaonekana kbs una chuki binafsi,bendera fuata upepo na kanjanja,
usilete malumbano ya iman hapa saiz,kama osama,alshabaab na boko haram wanaua kwa kutumia kigezo cha dini ni wao na mitizamo yao,dini yetu sisi inahubiri aman na kila mwerevu hapa hao mapadri wenu wanajua,
sasa baadh ya viongoz wenu ambao wanashutumiwa kwa ushoga na wapo,ambao wanalawito vitoto pia wapo na kufanya machafu na watawa wa kike,unataka tuwahukumu wote kwnye mfumo huo ni waovu??
kam kanumba ameishi maisha yake kwa kumchukiza mungu na kufia kwenye mambo ya kumchukiza mungu maombi yako yatasaidia nin??
Kila mtu atalipwa kwa matendo yake aliyofanya,we kaa ukizubaa dhambini kwa matumain kua kuna mtu kafa kwa ajili ya dhambi zako,thubutuuuu utasaga meno nduguuu...
NDUGU ACHA UDOGMATISM KTK VITU VYA MSINGI VINAVOHUSU MAISHA YAKO KAMA DINI,USIPENDE SANA KUHUBIRIWA KUHUSU DINI,CHUKUA VITABU VYA DINI UVISOME,SOMA BIBLIA UIJUE,NA USIPENDE KUSOMEWAKama unanituhumu kuwahukumu Alshaabab, Alqaeda, Boko haraam na WENYE KUWAUNGA MKONO kwa hakika niko tayari shutumu hadi kukuche wala sitabadilika kwasababu na wewe utakuwa mmoja wao kwa hakika.
Mnafiki mkubwa huyu
Uzinzi siyo kitu kizuri
Kanumba kafa?
Huyu jamaa huenda anahusika na kifo cha Kanumba yani hajaonesha kusikitika kbs hata pale Muhimbili wkt wa kushusha mwili kwenye gari badala ya kusaidia alikuwa busy kupiga pichaIsingekuwa ni huu msiba wa Stephen Kanumba pengine nisingejua kiwango cha akili cha hawa wanaojiita ma 'star' wa Tanzania.
Leo asubuhi Clouds Tv walikuwa wanarusha live kipindi maalum cha mahojiano na watu waliokuwa wanamfahamu vizuri Kanumba.
Cha Ajabu Ray sijui ndiye Vincent Kigosi yeye kashikilia tu ubishoo tena wa kitoto uliogubikwa ushamba.
Wenzake wanaomboleza na kusikitika yeye kashupalia: " .... unajua niliponununua ile Lexus yangu, na Kanumba pia akanunua. Na baadae nikanunua Gari dogo naye akanunua, hivi sasa nina kiwanja Mbezi na utashangaa hata Kanumba alinunua pale jirani yangu kabisa ......................!"
Bongo Movie indeed