Angel Msoffe JF-Expert Member Joined Jun 21, 2011 Posts 6,781 Reaction score 1,657 Apr 7, 2012 #241 Tuko said: Ukitaka mafanikio kwa ushirikina lazima ujue mauti yapo mlangoni. R.I.P Kanumba. Click to expand... wewe! Unaushahidi na usemayo?
Tuko said: Ukitaka mafanikio kwa ushirikina lazima ujue mauti yapo mlangoni. R.I.P Kanumba. Click to expand... wewe! Unaushahidi na usemayo?
Jagarld JF-Expert Member Joined Apr 7, 2011 Posts 2,689 Reaction score 3,442 Apr 7, 2012 #242 R.I.P Kanumba,sure whenever death comes we are forced to review our deeds and destination
B busar JF-Expert Member Joined Dec 22, 2011 Posts 1,071 Reaction score 1,069 Apr 7, 2012 #243 R.I.P Kanumba
GREATTHINKERMAN Member Joined Feb 25, 2011 Posts 51 Reaction score 9 Apr 7, 2012 #244 Mallaba said: R.i.p kanumba! Click to expand... Ni msiba mkubwa kwa Watanzania na wengine wote waliokuwa wapenzi wa kazi za sanaa za Steven Kanumba. Hakika tutamkumbuka daima. RIP our Kanumba Steven
Mallaba said: R.i.p kanumba! Click to expand... Ni msiba mkubwa kwa Watanzania na wengine wote waliokuwa wapenzi wa kazi za sanaa za Steven Kanumba. Hakika tutamkumbuka daima. RIP our Kanumba Steven
Likwanda JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 3,926 Reaction score 1,159 Apr 7, 2012 #245 Dah, R.I.P Kanumba.
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,371 Apr 7, 2012 #247 R I P kanumba na Mungu akupatie pumziko ya amani milele
M Mgaya D.W JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 965 Reaction score 476 Apr 7, 2012 #248 Mungu wa rehema amrehem steven kanumba na ampokee kwenye nuru ya uso wake.amen
Ghiti Milimo JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 5,136 Reaction score 7,655 Apr 7, 2012 #249 georgeallen said: RIP Kanumba. hatukuwahi kusikia alikuwa mgonjwa siku za karibuni, je nani mwenye data chanzo cha kifo cha mpendwa wetu? Click to expand... Tusisahau maneno ya baba yake yaliyokuwa yameandikwa kwenye gazeti la Kiu,kuwa aombwe radhi,kwa kumponda kwenye TV kuwa huyo babake na mamake wa kambo walikuwa wanamtesa alipokuwa wanaishi naye Shinyanga!
georgeallen said: RIP Kanumba. hatukuwahi kusikia alikuwa mgonjwa siku za karibuni, je nani mwenye data chanzo cha kifo cha mpendwa wetu? Click to expand... Tusisahau maneno ya baba yake yaliyokuwa yameandikwa kwenye gazeti la Kiu,kuwa aombwe radhi,kwa kumponda kwenye TV kuwa huyo babake na mamake wa kambo walikuwa wanamtesa alipokuwa wanaishi naye Shinyanga!
Thomas JM JF-Expert Member Joined Feb 10, 2012 Posts 215 Reaction score 227 Apr 7, 2012 #250 Rest in peace kanumba, bwana alitoa bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe amen.
WaliNazi JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 851 Reaction score 96 Apr 7, 2012 #251 Asango said: habari zisizo rasmi za mwanzo zinaonyesha kasukumwa na mpenz wake aitwae lulu baada ya kutoka bafuni.ugomvi kt ya umetokana na sm.source clouds fm. Click to expand... ...maneno hayo clouds wameyatoa wapi...??? Wameambiwa na nani..?? Au walikuwepo eneo la tukio...
Asango said: habari zisizo rasmi za mwanzo zinaonyesha kasukumwa na mpenz wake aitwae lulu baada ya kutoka bafuni.ugomvi kt ya umetokana na sm.source clouds fm. Click to expand... ...maneno hayo clouds wameyatoa wapi...??? Wameambiwa na nani..?? Au walikuwepo eneo la tukio...
Rogie JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 7,600 Reaction score 6,721 Apr 7, 2012 #252 Angel Msoffe said: wewe! Unaushahidi na usemayo? Click to expand... dah inashangaza sana kwakweli..mtu wa namna hii basi yeye ndo mshirikina hivyo anadhani kuwa kila mwnye mafanikio ni mshirikina
Angel Msoffe said: wewe! Unaushahidi na usemayo? Click to expand... dah inashangaza sana kwakweli..mtu wa namna hii basi yeye ndo mshirikina hivyo anadhani kuwa kila mwnye mafanikio ni mshirikina
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,920 Apr 7, 2012 #253 Tuko said: Ukitaka mafanikio kwa ushirikina lazima ujue mauti yapo mlangoni. R.I.P Kanumba. Click to expand... Unamaanisha nini...??
Tuko said: Ukitaka mafanikio kwa ushirikina lazima ujue mauti yapo mlangoni. R.I.P Kanumba. Click to expand... Unamaanisha nini...??
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,920 Apr 7, 2012 #254 WaliNazi said: ...maneno hayo clouds wameyatoa wapi...??? Wameambiwa na nani..?? Au walikuwepo eneo la tukio... Click to expand... Majirani na mdogo wa marehemu...
WaliNazi said: ...maneno hayo clouds wameyatoa wapi...??? Wameambiwa na nani..?? Au walikuwepo eneo la tukio... Click to expand... Majirani na mdogo wa marehemu...
K Kidogo chetu JF-Expert Member Joined Nov 27, 2009 Posts 1,432 Reaction score 992 Apr 7, 2012 #255 RIP Kanumba you will be remebered always
Chimunguru JF-Expert Member Joined May 3, 2009 Posts 10,678 Reaction score 4,377 Apr 7, 2012 #256 DAh RIP Kanumba.
Viper JF-Expert Member Joined Dec 21, 2007 Posts 3,666 Reaction score 1,406 Apr 7, 2012 #257 lakini si aliwahi kusema LULU ni kama mdogo wake..!?
B Buto JF-Expert Member Joined Sep 23, 2011 Posts 249 Reaction score 29 Apr 7, 2012 #259 R.I.P Kanumba
Obe Platinum Member Joined Dec 31, 2007 Posts 10,287 Reaction score 35,665 Apr 7, 2012 #260 RIP Kanumba, tasnia ya filamu nchini itakukumbuka sana