Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 52,707 Reaction score 128,308 Apr 5, 2019 #21 Sapta Sapta said: Hawa wezi itakuwa ni wa DAIMA MBELE....................................... π Click to expand... Mtani ujue nina machungu ya jana hapa. Ila nafikiri yataisha kesho. ππ
Sapta Sapta said: Hawa wezi itakuwa ni wa DAIMA MBELE....................................... π Click to expand... Mtani ujue nina machungu ya jana hapa. Ila nafikiri yataisha kesho. ππ
Geranimo E K I A JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 3,254 Reaction score 5,392 Apr 5, 2019 #22 Shadeeya said: Mtani ujue nina machungu ya jana hapa. Ila nafikiri yataisha kesho. ππ Click to expand... Aisee siyo kwamba kesho yataongezeka? yani nakuonea huruma mtani wangu sijui kesho utakuwa na hali gani π
Shadeeya said: Mtani ujue nina machungu ya jana hapa. Ila nafikiri yataisha kesho. ππ Click to expand... Aisee siyo kwamba kesho yataongezeka? yani nakuonea huruma mtani wangu sijui kesho utakuwa na hali gani π
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 52,707 Reaction score 128,308 Apr 5, 2019 #23 Sapta Sapta said: Aisee siyo kwamba kesho yataongezeka? yani nakuonea huruma mtani wangu sijui kesho utakuwa na hali gani π Click to expand... Sidhani Mtani. Nadhani nitapata ahueni.
Sapta Sapta said: Aisee siyo kwamba kesho yataongezeka? yani nakuonea huruma mtani wangu sijui kesho utakuwa na hali gani π Click to expand... Sidhani Mtani. Nadhani nitapata ahueni.