Ni nchi peke yenye elimu duni....Ni nchi pekee barani afrika kwa watu wake kuwa wakalimu na wavumilivu na pia ni nchi pekee Africa watu wake wanapenda sana kuongea lugha ya taifa ata wakiwa ofisini na wakiwa majumani na ni nchi peke e Africa mashariki kwa sasa bongo flavor inashika kwa kasi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi pekee africa kuwa na maziwa makubwa zaidi africa likini wakazi wanaozunguka maziwa hayo hawana maji ya kutumia
Tatizo wanaweza wasiwe na sifa za kuendelea na elimu zaidi.afadhali matokeo ya form 4 yameshatoka.
Karagwe maji ya taabu sana kiasi kwamba nilijiuliza bila majibu. Wapo jirani na mto Kagera na Ziwa Victoria. Kuna wafanyabiashara wana malori yenye matenki makubwa sana wanaenda kufata maji mto Kagera kisha wanauzia wananchi kwa bei ya juu sana, foleni ya wanakaragwe (hasa Omurushaka) ya kununua maji ukitazama unabaki kusikitika tuNchi pekee africa kuwa na maziwa makubwa zaidi africa likini wakazi wanaozunguka maziwa hayo hawana maji ya kutumia