ukwelingumu
Member
- Oct 20, 2013
- 55
- 13
Najua wengi wataruka kuniambia vile Kiswahili changu ni kibovu which is allowed.Unajua kwa vita Mtu utumia the best weapon ako nayo.Mimi ni Mgeni katika hii forum but I am shocked with the level of group think and misconceptions Tanzanians have concerning Kenya
1) Dhana potevu ya Kwanza- Ati kenya inategemea Tanzania kwa utali na bila Tanzania kenya itaumia Ukweli Tanzania haiko top ten ya African countries destinations for tourists. Kenya ni namba sita ikifwatiwa na Uganda