Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Wakenya na viongozi wao kama kawaida yao walitukebehi sana baada ya nchi yetu kugomea kusaini Mkataba wa EPA ambapo ungeruhusu nchi za EU ku-export kwetu mpaka zaidi ya 80% ya bidhaa zao bila ya kulipia kodi!
Muda umeongea na kwamba hata wao Wakenya wameshatambua kwamba lengo letu Watanzania lilikuwa kuwaokoa wao wenyewe, sasa nchi ya Uingereza imesema iko tayari kukaa na nchi ya Kenya kujadili kuona jinsi ambavyo wanaweza kuingia trade agreements baada ya Brexit!
Izingatiwe kwamba sehemu kubwa ya hiyo export ya Kenya waliokuwa wanaiongelea inakwenda Uingereza na siyo EU, na hii ndiyo ilikuwa hoja ya TZ yetu kwamba kwa nini tusaini EPA wakati Uingereza ameshaamua kujitoa Brexit?
Sasa Wakenya mmeona kama tungesaini EPA leo hii mngekuwa na Mkataba na EU wakati hamna chochote cha kuuza EU kwani Uingereza anaondoka EU, ila EU wanweza kuuza kila kitu Kenya, na isitoshe ujio wa Trump umepindua kila kitu!
Tanzania yetu ina Viongozi makini na Wazalendo, na wanajua wanachokifanya, next time tukiwaambia jambo, msikilize!
Britain promises better deals with Kenya after EU exit