hiii inahusika vipi na JFDOCTORS?
![]()
karibuni sana wadau!
chakula chetu hiki!
Hali ya nchi imefikia kiwango!! Wapo wananchi katika paradisooo...na wapo wananchi katika jahanamooo !! Mungu tuepushe na majangaa.AMIN wakati mgumuu huu.
Upuuzi
mkuu hii haiuzwi bana...
its family consumption issue.. hahahaaaa.. ingeuzwa mabuchani ingekuwa noma sana!
but vingine mkuu nasikia wanaitaga ni haramu!!
sasa sijui na dini yetu inatuamuruje kuhusu hii kitu?
mbali sana huko Angel Nylon..
everybody has the right to do what his heart tells him without breaking the national laws!
Unajua maisha bhana ni kama sijui niitaje...inabidi tutest almost kila kitu kabla hatujafa