Tanzania yetu na TTCL

Kwanini tututmie platform ya kampuni nyingine? Kina washinda nini kuweka yao? Kumbuka hii ni kampuni kongwe kuliko zote za mawasiliano hapa Tanzania.
Mkuu hatuwez jua labda wanajipanga na pia kufanya hvyo labda pia ni katka kurahisisha huduma zao.

Ila TTCL wapunguze wazee waweke vijana, nakumbuka kuna siku nilienda kusajili line pale duka lao la Mwananyamala nikaambiw et Network hakuna nikaenda DIT kwenye vibanda hiv vya wasajili line nikasajiliwa, cjui ttzo lao ni nin?
 
Net wapo vizur tatizo ni mjini tu ukifika kijijin hapatikan
 

TTCL bila ya kuingia ubia na kampuni zenye uzoefu mkubwa kwenye masuala ya mawasiliano hawatafika mbali - katika kumaliza matatizo sugu ya TTCL nashuri Serikali iwalazimishe waingie Ubia na hao Wachina (DATANG), Serikali hisikubali excuses zao za kujifanya wana uwezo wa kuendesha Shirika (TTCL) bila ya kuingia UBIA na makampuni yenye uwezo mkubwa wa kiufundi na kiuendeshaji:mfano ni kampuni hiyo ya DATANG inayo wafungia mitambo nchi nzima.
 
Hawa jamaa hawajielewi kabisa, kwa morogoro mjini ukifika kihonda tu network yao hakuna. Laini yao naoshea sufuria imekuwa mbadala wa steel wire!
 
Reactions: Ftc
Haya makampuni ya simu ya kigen hayalipi cooperate tax kwakuonesha wana operate under loss iltakiwa wananchi pia tugome kwa kuacha kutumia mitandao ya kgen. Kabla ya kufka huko kwanza ttcl warejeshe 2g haraka sababu simu nying tulizonazo haziw supported na network ya 3g au 4g waliyonayo ttcl
 
Hawa TTcl ni bure kabisa nilichukua line yao mpaka leo hii aijawai kusoma kwenye cm yangu kila nikiwambia wananipa matumaini tu
Uko kama mimi mkuu! Imenigharimu takriban shekeli 5000/= hadi kuimiliki. Tondoro beta kabisa hawa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…