Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,444
Watu wengi hapa mnafikiria vikwazo na kujustify kwamba mambo hayawezekani.Ila from my experience opportunity zipo nyingi tuu bongo and as a freelance software developer nimefanya application nyingi tuu ambazo zinatumika kwenye serious business na mimi inshallah mambo yanaenda.so dont ever ever giveup
Zaidi ya hivyo watu wanafikiria return in terms on Hard money na cash tu . Kuna project zina weza kuwa na faida kwa jamii na service kwa jamii bil kuwa nan direct cash retuns .
na uzuiri opporunity zilizopo wala haziitaji mtu kudelevelop new software tottaly/ Ni just kungeza madoido kwenye application zilizopo.
Eg
- adding and or proving Ksswahili grammer and systax check in Ms word and r open office
- Having Kiswahili pack kwenye Available CMS
Lakii bado inakuwa kazi kundelea kwenye hii field sababu institution kubwa zinazotakiwa kuwa wateja na kuonyesha njia zimeduma na ni za serikali. Mfano BBC na CCN wakati zinaanza walikuwa wanatumia Windows Media player na hta youtube kupresnt official video content message. Baadaye nadhani utaona BBC na mashirika makubw yana custom Media player zao.
Sasa kwa Tanzania TBC ITV Star Tv, etc hata kutumia youtube au media player ambazo ni za bure bado ni kasheshe. So taaasisi kubwa na infact ni za serikali zinazotak iwa kuonyesha njia n kuwa wateja either haziko so open au Hazina vision sahihi. LAkini hizi tasisi zina graduate n watu tumesoma nao na wengine walikuwa smart wenye matokeo kutuzidi. So Pia na elimu yetu nadhani inatundaa zaidi kwa white collar job yaani kuwa users sio doers.........
Hata ukiwa so called software engneer kwa bongo much of resposibility utakazopata kwenye taasis nyingi sio fully sofware enginnering task.
Nilikuwa nasoma article hii y boss wa google aliyopresenet jinsi internet invyotransform Television. Sasa sijui kama Kuna Director yeyote pale TBC ana jua hili . Japo ujumbe ulikuwa ni kwa UK nadhani ni jumbe unweza kuwa applicabale wa nchi nyingi.
Google chairman Eric Schmidt has said education in Britain is holding back the country's chances of success in the digital media economy.
He made his comments at the MacTaggart Lecture at the Edinburgh International Television Festival.
Dr Schmidt said the UK needed to reignite children's passion for science, engineering and maths. And he announced a partnership with the UK's National Film and TV School, to help train young online film-makers. Dr Schmidt told the audience of broadcasters and producers that Britain had invented many items but were no longer the world's leading exponents in these fields.
Endelea kusoma chapisho hili hapa BBC News - Google's Eric Schmidt criticises education in the UK