Shukrani, Jezi za Bongoland zilikuwa ni toleo la mwanza wakati timu inaanzishwa, sina hakika kama bado zipo, ila nitawasiliana na utalawa, then nitakutaarifu
Poa, natanguliza shukrani. Ni PM ukifanikiwa.