Let them go... Ila watajikuta wamesahau hazina moja kubwa sana...nayo ni Tanzania! Tanzania ni kubwa kwa eneo kuliko nchi hizo zote zikiungana kwa pamoja. Ukubwa wetu ni hazina tosha. Toka lini samaki akameza mamba, hata kama huyo mamba amelala?
Mimi nafikiri MMEPANIC kusikia wenzetu wanatumwaga!Ukweli ni kwamba Tanzania ndio imekuwa kikwazo kikubwa kwa kuharakisha soko la pamoja la shirikisho la Africa mashariki.Kulikuwa na sababu kadhaa zilizosababisha kutokuharakisha huko ikiwemo elimu kuwa watanzania wengi hawana elimu hivyo watakuwa manamba wa wageni.Pia kulikuwa na hoja ya ardhi kuwa wenzetu wanahitaji ardhi yetu.Na pia kulikuwa na hoja ya ukabila kuwa wenzetu ni wakabila sana kuliko sisi hivyo kuungana nao ni kujifunza Yao.
Kiukweli watanzania tuna USHAMBA na UBINAFSI Fulani hvi,ambao unasababisha watu wadumae kifikra.Sasa kama watu hamsomi na kuzingatia elimu wakenya wakija Tanzania si ndo watawa-mobilize msome?Au kama mataifa mengine Yana ukabila si ndio tutaupunguza huo ukabila kwa kuchangamana nao(refer hotuba za Nyerere),au kama ni issue ya ardhi si ndio tutakuwa makini na kuchangamkia fursa za kumiliki ardhi na kuacha kushinda vijiweni kunywa ghahawa na kucheza draft huku tukiacha ardhi kubwa bila matumizi?
Kwanza hata yale yote tuliokuwa tunajivunia yote tulishayaacha,sasa hivi watanzania ni WADINI,WAKABILA na WABAGUZI kupita maelezo.Ni mara ngapi humu ndani tunapost thread za kibaguzi za KIDINI na KIKABILA?
Mie naona ni wakati wa kuwa waungwana na kuwaomba radhi wenzetu ili tujenge shirikisho letu vyema!Haiwezekani tunahubiri shirikisho wakati huo huo tunawafukuza nchini wenzetu na kuwaita wakimbizi na kuwaacha raia wa Oman,Syria na Egypt wamejazana pale kariakoo wakiwa n pasipoti feki!
TUACHE UNAFIKI!
Mbona Ethiopia haimo katika shirikisho tangia mwanzo na sasa imepiga hatua kubwa kimaendeleo? Viongozi wetu waamue kujitoa kabisa humo na tutafanya vizuri tu kwani hawa wanaitamani nchi yetu na hakuna jingine.Kama wana haraka ya kuungana waache waungane, mwisho wa siku bomu likilupuka ni wao watakao umia. Kama wanaona maswala ya kuungana ni ya mzaha mzaha na Tanzania ina wachelewwsha basi haiko waendelee na mikakati yao.
Ukweli unabaki kwamba Tanzania ina uzoefu ya mambo haya kutokana na muungano wa Tanganyika na Zanzibar ndio maana tuna sita. Pili nchi zote za Afrika Mashariki zina matatizo ya ndani ambayo mkiungana nchi zote shiriki mtarithi. Kenya kuna ukabila, Uganda kuna ukabila na Museveni yeye anataka kuwa raisi wa nchi itakayo kuwa East Africa, Rwanda nao ukabila nk. Kweli shirikisho lita fanikiwa kwa hali hiyo?
nitashukulu sana kama hatutajiunga hayo mafisi yanamezea ardhi yetu mate. sadec inatosha nduguzangu Watanzania, ni bora tuungane na Mugabe kuliko hawa waloo wa ardhi za watu.Based on the current situation of EAC with lack of interactions between people and greediness of Kenya and Rwanda plus no economic ties between the members, I think the four countries will end up with Political Platform/PP (Jukwaa la Kisiasa), not Political Federation/PF (Shirikisho la Kisiasa). Political Federation/Union is also an ultimate goal of the European countries, however, they are still facing various challenges on the matter, how easily East Africa can reach such stage given that the EAC is almost depends on financing from Donors. Political federation is a "political structure of economic integration" but it must be laid down by strong foundations of economic union which currently is not exist.
Huu ni usanii mtupu, ndoto za mchana aotazo mwehu. Huu ni ujanja kujifanya wanaungana ili kumvuta Tanzania naye ajiunge kwani hapa ndiye mlengwa maana hao wengine hawana cha kuunganisha. They are choka mbaya.*Rwanda, Kenya, Uganda na Burundi zaungana kuunda Shirikisho la Kisiasa
*Waziri Sitta asema zina ajenda ya siri, ashangaa marais kuwaburuza wananchi wao.
HATIMAYE Tanzania imewekwa kando rasmi na nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), katika kuunda Shirikisho la Kisiasa litakaloziongoza nchi hizo.
Tayari marais wa nchi hizo, Paul Kagame wa Rwanda, Yoweri Museveni wa Uganda, Uhuru Kenyatta wa Kenya na Pierre Nkurunzinza wa Burundi wamekwishafikia makubaliano ya kuanzisha mchakato wa kuandikwa kwa Rasimu ya Katiba ya Shirikisho la Kisiasa la nchi wanachama waEAC, bila kuishirikisha Tanzania.
Waziri wa Serikali za Mitaa wa Rwanda, James Musoni,amekaririwa na vyombo vya habari vya nchi hiyo akieleza kuwa makubaliano ya kuanzishwa kwa mchakato wa kuandikwa kwa Rasimu ya Katiba ya Shirikisho la Afrika Mashariki, yalifikiwa Septemba 12 mwaka huu, mjiniKampala na marais wa Rwanda,Kenya na Uganda na hivi karibuni Rais wa Burundi ambaye alialikwa katika mkutano huo na kushindwa kuhudhuria, naye sasa amethibitisha ushirika wake katika shirikisho hilo jipya.
Gazeti la The Sunday Times la Rwanda, limemnukuu Waziri Musoni kuwa marais wa nchi hizo wamekubaliana kukamilisha rasimu hiyo ndani ya muda mfupi.
Musoni ambaye alikiri kushiriki katika mkutano wa marais hao ulioshirikisha pia maofisa waandamizi wa nchi hizo isipokuwa Tanzania, alisema uamuzi uliofikiwa katika mkutano huo ambao ni wa pili kufanyika, ni moja ya maagizo ya uamuzi uliofikiwa kwenye mkutano wa kwanza uliofanyika piamjini Kampala.
Tumekubaliana juu ya kanuni za kisheria na mpango mzima utakaotuongoza ili kupata Rasimu ya Katiba itakayoliongoza shirikisho hilo la kisiasa, alikaririwa Musoni.
Alieleza kuundwa kwa kikosi kazi maalumu kitakachojulikana kwa jina la High Level Task Force (HLTF), ambacho kitajumuisha wataalamu wa nyanja mbalimbali watakaoandika Rasimu hiyo kwa namna ile ile ya ulivyoandaliwa mpango wa Itifaki ya soko la pamoja la Jumuiya ya AfrikaMashariki.
Musoni alisema mawaziri wa nchi wanachama waliopangiwa kushughulikia shirikisho hilo,wanatarajiwa kuelezea mwelekeo wa mafanikio ya mpango huo katika mkutano mwingine uliopangwa kufanyika mwishoni mwa mwezi Oktoba huko Kigali Rwanda.
Kwa mara ya kwanza, marais Kagame, Museveni na Kenyatta walikutana kufikia makubaliano ya kuharakisha uundwaji wa shirikisho la kisiasa kwa nchi zao kwa kuondoa vikwazo vya kiuchumi na kuweka hati ya vitambulisho vya pamoja na ushirikiano wa kibiashara sambamba na kuzindua mradi wa ujenzi wa gati ya Bandariya Mombasa.
Tamaa yao ya ardhi Yetu. Inawauma. Tanzania nchi yangu LET IT GO.
Mimi nafikiri MMEPANIC kusikia wenzetu wanatumwaga!Ukweli ni kwamba Tanzania ndio imekuwa kikwazo kikubwa kwa kuharakisha soko la pamoja la shirikisho la Africa mashariki.Kulikuwa na sababu kadhaa zilizosababisha kutokuharakisha huko ikiwemo elimu kuwa watanzania wengi hawana elimu hivyo watakuwa manamba wa wageni.Pia kulikuwa na hoja ya ardhi kuwa wenzetu wanahitaji ardhi yetu.Na pia kulikuwa na hoja ya ukabila kuwa wenzetu ni wakabila sana kuliko sisi hivyo kuungana nao ni kujifunza Yao.
Kiukweli watanzania tuna USHAMBA na UBINAFSI Fulani hvi,ambao unasababisha watu wadumae kifikra.Sasa kama watu hamsomi na kuzingatia elimu wakenya wakija Tanzania si ndo watawa-mobilize msome?Au kama mataifa mengine Yana ukabila si ndio tutaupunguza huo ukabila kwa kuchangamana nao(refer hotuba za Nyerere),au kama ni issue ya ardhi si ndio tutakuwa makini na kuchangamkia fursa za kumiliki ardhi na kuacha kushinda vijiweni kunywa ghahawa na kucheza draft huku tukiacha ardhi kubwa bila matumizi?
Kwanza hata yale yote tuliokuwa tunajivunia yote tulishayaacha,sasa hivi watanzania ni WADINI,WAKABILA na WABAGUZI kupita maelezo.Ni mara ngapi humu ndani tunapost thread za kibaguzi za KIDINI na KIKABILA?
Mie naona ni wakati wa kuwa waungwana na kuwaomba radhi wenzetu ili tujenge shirikisho letu vyema!Haiwezekani tunahubiri shirikisho wakati huo huo tunawafukuza nchini wenzetu na kuwaita wakimbizi na kuwaacha raia wa Oman,Syria na Egypt wamejazana pale kariakoo wakiwa n pasipoti feki!
TUACHE UNAFIKI!
Kwanza yalikuwa ni makosa makubwa ya serekali kuzikubali nchi za Rwanda na Burundi kuingia katika shirikisho nakumbuka wananchi tulipiga kelele lakini wanasiasa wanafikiri wao wana akili kuliko wananchi hawakutaka kutusikiliza.
Watanganyika kwa kujipiga kubwa hawajambo! Tuna nini sie zaidi ya ufisadi na unafiki? Nawatakia kila la kheri katika muungano wao. Kikwete blabla nyiingi, nchi yetu ina kila kitu, lakini sisi ndio tuko nyuma kimaendeleo kuliko hata burundi. Shame upon our government.