Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,753
- 218,350
Yatandikwa bao 12 soka la ufukweni .
Pamoja na kochaKwa hiyo kila mchezaji kapigwa bao moja!?
Hehe ni ule mchezo wa kucheza bila njumuJuzi hapa hiyo timu ya beach soccer ilikuwa unageuza vitimu pale coco kumbe nao ni koko!!!!!
Hehe ni ule mchezo wa kucheza bila njumu
Pawasa anabebwa na uSimba pale Karume aka TIFUTIFU....Lini.kasomea haya?Pawasa aliondoka nchini kwa mbwembwe kuu labda hali ya hewa imewaathiri
Mkuu malizia Tanzania ya Magufuli. Hii haiitwi Tanzania tu. Hausikii kila siku wanasema ni Tanzania ya Magufuli?
Pawasa huyoKocha ajiuzulu au ang'olewe
Wizi wa mali ya umma huku tukijifanya wapinga rushwaKwani Tanzania tunaweza nini hasa?
Hongera una furaha isiyo na kifani as if JPM na familia yake ndo waliokuwa wachezaji