Tanzania yatabiriwa machafuko

Mwandishi ni sheikh Yahya wa kizungu. Anaganga njaa tu.
 
conflicts will only arise if ccm dont accept defeat...for peace to be in place ccm must accept defeat in the 2015 national elections

I know ccm wont rule forever but i wonder what makes you think ccm will be defeated in 2015?.
As for me i think it wont be defeated.
 
Hao wanaotabili ndio hao hao watayaleta ili waonekane wenye akili sana ya maono juu ya wenzao ili tuwaone kuwa wako karibu na mungu.Na ni hao hao baadae watajifanya kulejesha amani ili watugande kama kupe.Siku zote mtengeneza vita ndio msuluhishi wa vita.
 
Wanaopinga ripoti hii wote ni mangumbaro,mzungu sio mjinga kuzitaja hizo nchi na yetu ikiwemo hamna uchawi hapo ni ubongo tu!!

Vita nchii hii havizuiliki na ni bora hivo vita vije mana tumeshachoka kuonewa na polisi na wana-magamba wanatupiga risasi tuliyoinunua kwa pesa ya kodi zetu!! hii haikubaliki ni bora tupigane vita kila mtu awe na silaha akikupiga na wewe mnampiga si unaona hata kule kenya polisi kama 60 wameuliwa na wanakijiji,sasa heshima ipo wenzetu wameshajikomboa ni bora tuishi kama machokoraa kama wanavyoishi somalia kuliko kuishi maisha mnadanganywa kuwa kuna amani kumbe hamna kitu kama hicho amani wakati wanaoandamana kudai madai yao ya haki wanapigwa risasi??

unayempiga risasi ni nani sasa??kwani kuna kaburu yeyeote nchi hii au hao magamba washageuka makaburu na sisi tushageuka wazulu??au washageuka israeli na sisi ni wapalestina?? hii inauma sana nchi hii nasema bora vita ije tupate kuheshimiana kidogo.
Kwani hao polisi hawaonagi wenzao kunapokuwaga na maandamano nchini mwao wanavyotumia maji na kuwasukuma tu waandamanaji?? kama wameshindwa kabisa kwa nini utumie risasi ya moto??

Ina maana ulikusudia kuua au unakusudia kuua ili uwatishe watu wasiandamane tena!!na kama ni hivyo ina maana wanafanya majaribia ya kuzima uhuru wa watu kudai haki zao za kimsingi hata kama wanaona kabisa wanadhurumiwa hiyo haki yao!!

WALLAH nasema na naomba Mungu vita ije hatutaweza kuonewa namna hii mbaka lini??hili jeshi la polisi sasa si la kulinda usalama wa raia bali lipo kulinda maslahi ya watawala na matajiri wenye pesa!!kwa namna hiyo basi wanatukandamiza sisi ambao tuko chini!!

WALLAHI VITA NJOO TUONYESHANE KWANZA!!!
 
Kwangu mimi wana CCM sio binadamu bali ni ALIEN MONSTER. Kwa hiyo kuwaua wana CCM ni jambo la heri kwa sababu itakuwa ni sehemu ya ukombozi wa mnyonge.

Hehehe lol! So democracy munaiweza kweli sababu mtu akiwa kinyume na nyinyi anakuwa hafai munaita majina sio ,nyny munaenda kusoma huko vyuo ama munapeleka siku mbele tu si bora mubaki kitaa kama sisi...!!!
 
Grand Master Dulla

ushawahi kushiriki vita vyovyote,chunga ulimi wako wa kinafiki
kaonyeshane na demu wako kwenye mkeka
 
Last edited by a moderator:
Hakuna kitu kama hicho huu ni utabiri fake! That will not happen!

Tatizo binadamu hapendi kuambiwa ukweli. Hakuna anayependa kuambiwa utakufa. Laiti ungekubali huo utabili na kuomba rehema ili siku zakuishi kwako ziongezwe(wasoma biblia wanajua nina maana gani).

Mliogopa kusema, kuandika Tanzania inaudini na ukabila, leo kila mtu anasema waziwazi juu ya hayo. Police wanaua hamtaki kujua chanzo cha mauaji hayo na kuchukua hatua. Utdhibitisho wa ufisadi kwa viongozi huko wazi na hakuna wakukemea/hatua. Haki mahakamani inacheleweshwa kwa makusudi kabisa na wakati mwingine hakuna.

Kama hutaki kuyaona haya kama ni chanzo cha vita wewe una matatizo. Kundi dogo amakubwa litakalo choshwa na haya ni raisi kuanzisha vita na kupata support kwa njia yoyote ile kwakuwa kuna sababu za wao kufanya hivyo.

kabla hatujafikia huko tuchukue hatua za kuimarisha amani yetu. Na inawezekana tu kwanjia ya haki na viongozi wetu kuwa wakweli na waadilifu. Kwa taarifa yako hakuna mtu au nchi inayopenda vita. Vita ni matokeo ya sababu ziwe za kweli au la.
 
Siombi vita ije lakini kama itakuja hapa wa kukamatwa na kufilisiwa ni Muheshimiwa rais na familia yake kwani ni wezi mno wa mali za nchi yetu. Anajifanya mfalme wa kiarab kwamba mali zote za nchi ni zake yeye na familia yake huku waliomchagua wanakufa na njaa.
 
ushawahi kushiriki vita vyovyote,chunga ulimi wako wa kinafiki
kaonyeshane na demu wako kwenye mkeka

Wewe kwani vita vinatisha??kufyatua risasi kunatisha nini??hiyo ndiyo propaganda zenu magamba mnatutisha mnadhania kuwa tutaogpa tukisikia neno vita,kwani wanayopigana somalia na sudani ni nini??

Kuhusu mimi ndo usinitishe nishakaa sana sudan na nishalazimishwa sana kwa nguvu kupigana vita na waasi,kwa hiyo sijaona kitu kinachonitisha kwani kule ilikuwa ukifika miaka 8 tu lazima ujue kutumia silaha zote!!bora vita vije mwenzako mi nshanusurika sana na risasi za vichwa pamja na mabomu ya ardhini na ninapoona uonevu tunaoonewa kwa keli siwezi nikaukubali kabisa Yah!!

ALLAH TUNAKUOMBA UTUONJESHE RADHA YA VITA NCHI HII ILI TUHESHIMIANE NA WALA TUSITISHIANE NYAU TENA!!
 
watanzania hawako na moyo huo wa kuua ndugu zao ili watawale. mtabashiri kwa kutumia mizimu yote ila hayo Mungu hwez kuruhusu


Hakuna nchi yoyote iliyoendelea bila kuwa na machafuko, siungi mkono machafuko, ila ninaona Tanzania tukielekea huko. CCM haiwezi achia madaraka kamwe..tuko kwenye Black on Black colonialism ...Hope CCM siku ikishindwa 'ingawa huwa wanashindwa" wataachia IKULU in peace ili tuendelee kuwa na amani nchini kwetu
 
As conflicts take one half, peace remains with the second half too. In my eye as an optimist, Tanzania shall be in the second half. Let the pessimists follow their poor clairvoyants who are already in self-conflicts between their bodies v/s their souls!
 

u're wrong its u who are facing nightmare!!! The War Is Around The Corner.
 


Kwa TANGANYIKA tatizo ni SHEIKH PONDA na kwa Zanzibar ni UAMSHO; VYOTE HIVI VIKUNDI VILINEEMESHWA na RAIS wa NCHI wakati wa UCHAGUZI wa URAIS 2010 - aliona asipo tutenga WATANGAYIKA na WAZANZIBARI kwa DNI na UKABILA asinge weza kushinda...

Sasa hawezi hata KUTOA HOJA ya kusitirisha hayo MATATIZO; kwahiyo NDIO SABABU wanasema kutatokea MACHAFUKO
NI FREQUENT FLIER PROBLEMS zitakazotufanya tuwe RWANDA B
 
Mdau Kkenzki,
Ongeza nyama kwa nini Tanzania, maana ungeweka linki wana-JamiiForums tusome na kujua sababu za habari hii ili tukipata facts za 'mtafiti wa paper' hii tuone kama zipo kweli na kujadiliana humu ili tujiepushe na janga hili tunalotabiriwa.

Jamiiforums tunaongoza kwa majadiliano kwa uwazi ndiyo maana huwa tunapata 'taarifa kwa umma toka taasisi za serikali za Muungano wa Tanzania n.k' kujibu yanayobandikwa humu ktk Jamiiforums.
 

wala hawatahitaji kutuchonganisha manake tunawapa kwenye sahani kuanzia starter ya exploration hadi desert. Tena bila maswali huku tukigandamiza watu wetu. Watanzania ni waoga, hiyo ndio silaha yao.
 
Nimeipitia hiyo research report inatabiri tutaingia kwenye mgogoro mkubwa ktk miaka ya 2050. Lakini lakini taarifa inajikanyaga kuhusu India. Inasema itatoka kwenye risk na wakati huohuo itaingia kwny risk. As the risk of war decreases
worldwide, by 2017 it will be
greatest in India, Ethiopia, the
Philippines, Uganda and
Burma.
And by 2050, as the number
of countries at war falls from
one in six to one in 12, the
risk of conflict will be greatest
in India,
Nigeria, Sudan, Ethiopia and
Tanzania".
 
watanzania hawako na moyo huo wa kuua ndugu zao ili watawale. mtabashiri kwa kutumia mizimu yote ila hayo Mungu hwez kuruhusu


Yaani wewe pamoja na viashiria vyote hivi vilivyojitokeza siku za hivi karibuni(Zanzibar,Ponda bara) bado una mawazo hayo tu? YOU ARE NOT SERIOUS!!!!!!!
 
Bora tupigane japo kidogo.Na kwa ukweli halisi wa hiyo research imeweka kikomo kuanzia mwaka 2050 lakini hiyo ni maximum point tu,ukweli kadri navyoona mimi vita vitatokea hivi karibuni tu wala siyo mbali sana ila hiyo 2050 ni kama mximum limit ila vinaweza kutokea wakati wowote kabla ya hapo.Na sababu hasa itakuwa ni ardhi na resource za nchi pamoja na maji,yaani haviepukiki ni lazima vitatokea tu.
 


basi karibu tanzania,naona u mgeni wa tamaduni zetu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…