Ni ajabu kuwa wengi mnahitaji 'utabiri' kujua kuwa Tz iko kwenye uwezekano mkubwa wa kuingia ktk machafuko. Mbona hali iko wazi? Acheni kuchukulia mambo kizembe kuweni serious na mambo yanayoihusu nchi yenu. Ukifungua macho kidogo tu utagundua kuwa Tz inaelekea shimoni/gizani.
Wangesema walikuwa wanafanya Computer Simulation ya Nuclear explosion ya equivalent 50Tera Tonnes za TNT ningewaelewa, lakini ili la kutabiria vita Tanzania come 2050 naona hayo ni mambo ya Abracadabra zaidi kuliko Prediction za Kisayansi.
Tutaona muda ukifika, ila Watanzania kuingia kwenye vita bado halija kaa sawa. maneno mengi kuliko vitendo hapa.Nguvu ipo upande mmoja tu amabao ni serikali upande wa pili kelele nyingi.
Tamaduni zipi? za kuibiana na kuficha mabilion uswis? kuiba kura kama kule kigamboni? urais au kama kule segerea mtu anakamatwa na masanduku ya kura bado anashinda kesi? Tamaduni zipi shimbo mnadhimu wa jeshi kuiba 3 trillion? Tamaduni zipi EPA, RICHMOND, KAGODA,MEREMETA, au mauwaji ya mwangosi, kijana wa moro? au kule Arusha au Zanzibar. Sasa kama hujui hivyo ndo among vyanzo vya Vita hapa nchini na Utumbo mwingi tu ambao cjaandika humu. Na hapa nchini VITA NI LAZIMA KWA MWENDO HUU WA MATAMUSHI YA MWIGULU KWAMBA HAWATAKABIDHI NCHI KWA WAHUNI? 2015 PATACHIMBIKA HUMU NCHINI.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.