Tanzania yaporomoka hatua 10 uhuru wa vyombo vya habari

Kaka Pekee

JF-Expert Member
Apr 3, 2018
336
559

RIPOTI ya mwaka 2018 inayotolewa na taasisi ya Waandishi wa Habari Wasio na Mipaka (RSF), kuhusu uhuru wa vyombo vya habari katika mwaka uliopita, inaonyesha kwamba ndani ya mwaka mmoja Tanzania imeporomoka kwa hatua 10 kutoka ilipokuwa mwaka jana.

Katika ripoti ya 2017 Tanzania ilishika nafasi ya 83 kati ya nchi 180 zilizofanyiwa utafiti. Mwaka huu imeshika nafasi ya 93.

Miongoni mwa sababu zilizoshusha nchi hiyo katika katika mwaka 2017, kwa mujibu wa utafiti huo wa RSF, ni vitisho vya serikali dhidi ya vyombo vya habari kufungia magazeti, kufungua mashitaka dhidi ya waandishi, wahariri na wamiliki wa vyombo vya habari, kutisha na kuteka waandishi wa habari.

19223198_303.jpg

Baadhi ya matukio yaliyoshusha heshima ya Tanzania ni pamoja na Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kuvamia kituo cha Clouds FM, serikali kushitaki Maxence Mello, mmiliki wa mtando wa Jamii Forums, na “watu wasiojulikana” kuteka na kumpoteza Azory Gwanda, mwandishi wa gazeti la Mwananchi.

Miongoni mwa sheria mbaya ambazo zimekuwa zinatumiwa na serikali kuminya uhuru wa habari ni pamoja na Sheria ya Takwimu, Sheria ya Mitandao, na Sheria ya Huduma za Habari, ambazo serikali ya awamu ya tano imezitumia kuzuia vyombo vya habari kuandika habari zinazoibua kashfa za serikali, na kutisha au kushitaki waandishi wa habari au kufungia vyombo vya habari.

Taarifa zaidi kuhusu ripoti hiyo unapatikana katika tovuti ya RSF, yenye makao makuu nchini Ufaransa – Tanzania : “Bulldozing” the media | Reporters without borders

Source: www.sautikubwa.org
 
Ilitqkiwa iporomoke zaidi, kwa events zilizotokea mwakani mmoja katika tasnia ya habari inasikitisha.
 
Huu ni Mwanzo tu..Kuna Watu hawajui Kwamba Tunaongozwa na Dikteta ..Kajitwalia Mamlaka Zote za Bunge,Mahakama ,Vyombo vya Habari, Na Sasa anataka Kuwaingilia na Wanasheria (TLS)..Mpaka 2020 tunaweza kushuka mpaka 150 huko..
 
RIPOTI ya mwaka 2018 inayotolewa na taasisi ya Waandishi wa Habari Wasio na Mipaka (RSF), kuhusu uhuru wa vyombo vya habari katika mwaka uliopita, inaonyesha kwamba ndani ya mwaka mmoja Tanzania imeporomoka kwa hatua 10 kutoka ilipokuwa mwaka jana.

Katika ripoti ya 2017 Tanzania ilishika nafasi ya 83 kati ya nchi 180 zilizofanyiwa utafiti. Mwaka huu imeshika nafasi ya 93.

Miongoni mwa sababu zilizoshusha nchi hiyo katika katika mwaka 2017, kwa mujibu wa utafiti huo wa RSF, ni vitisho vya serikali dhidi ya vyombo vya habari kufungia magazeti, kufungua mashitaka dhidi ya waandishi, wahariri na wamiliki wa vyombo vya habari, kutisha na kuteka waandishi wa habari.

19223198_303.jpg

Baadhi ya matukio yaliyoshusha heshima ya Tanzania ni pamoja na Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kuvamia kituo cha Clouds FM, serikali kushitaki Maxence Mello, mmiliki wa mtando wa Jamii Forums, na “watu wasiojulikana” kuteka na kumpoteza Azory Gwanda, mwandishi wa gazeti la Mwananchi.

Miongoni mwa sheria mbaya ambazo zimekuwa zinatumiwa na serikali kuminya uhuru wa habari ni pamoja na Sheria ya Takwimu, Sheria ya Mitandao, na Sheria ya Huduma za Habari, ambazo serikali ya awamu ya tano imezitumia kuzuia vyombo vya habari kuandika habari zinazoibua kashfa za serikali, na kutisha au kushitaki waandishi wa habari au kufungia vyombo vya habari.

Taarifa zaidi kuhusu ripoti hiyo unapatikana katika tovuti ya RSF, yenye makao makuu nchini Ufaransa – Tanzania : “Bulldozing” the media | Reporters without borders

Source: www.sautikubwa.org
M nljua tumeporomoka kwny takwimu ya uchapaj kazi kujituma na maendeleo.

Acha tu tuporomoke.
Maana kuongea ongea kwnyw hakuleti maendeleo.
 
Hakuna mwingine wa kulaumiwa ila ni Dhalimu aliyesukumiziwa Ikulu, huyu jamaa ni janga kubwa la Taifa hafai kabisa kuendelea kuwepo Magogoni.

RIPOTI ya mwaka 2018 inayotolewa na taasisi ya Waandishi wa Habari Wasio na Mipaka (RSF), kuhusu uhuru wa vyombo vya habari katika mwaka uliopita, inaonyesha kwamba ndani ya mwaka mmoja Tanzania imeporomoka kwa hatua 10 kutoka ilipokuwa mwaka jana.

Katika ripoti ya 2017 Tanzania ilishika nafasi ya 83 kati ya nchi 180 zilizofanyiwa utafiti. Mwaka huu imeshika nafasi ya 93.

Miongoni mwa sababu zilizoshusha nchi hiyo katika katika mwaka 2017, kwa mujibu wa utafiti huo wa RSF, ni vitisho vya serikali dhidi ya vyombo vya habari kufungia magazeti, kufungua mashitaka dhidi ya waandishi, wahariri na wamiliki wa vyombo vya habari, kutisha na kuteka waandishi wa habari.

19223198_303.jpg

Baadhi ya matukio yaliyoshusha heshima ya Tanzania ni pamoja na Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kuvamia kituo cha Clouds FM, serikali kushitaki Maxence Mello, mmiliki wa mtando wa Jamii Forums, na “watu wasiojulikana” kuteka na kumpoteza Azory Gwanda, mwandishi wa gazeti la Mwananchi.

Miongoni mwa sheria mbaya ambazo zimekuwa zinatumiwa na serikali kuminya uhuru wa habari ni pamoja na Sheria ya Takwimu, Sheria ya Mitandao, na Sheria ya Huduma za Habari, ambazo serikali ya awamu ya tano imezitumia kuzuia vyombo vya habari kuandika habari zinazoibua kashfa za serikali, na kutisha au kushitaki waandishi wa habari au kufungia vyombo vya habari.

Taarifa zaidi kuhusu ripoti hiyo unapatikana katika tovuti ya RSF, yenye makao makuu nchini Ufaransa – Tanzania : “Bulldozing” the media | Reporters without borders

Source: www.sautikubwa.org
 
Miongoni mwa sababu zilizoshusha nchi hiyo katika katika mwaka 2017, kwa mujibu wa utafiti huo wa RSF, ni vitisho vya serikali dhidi ya vyombo vya habari kufungia magazeti, kufungua mashitaka dhidi ya waandishi, wahariri na wamiliki wa vyombo vya habari, kutisha na kuteka waandishi wa habari

Je, hapo kwenye nyekundu kubwa, utekaji nao unafanywa na mfungia magazeti kwa mujibu wa orodha hii?
 
Mbona wameipendelea sana ! hii nchi kwa sasa inazidiwa na Rwanda na burundi tu , ilitakiwa iwe nafasi ya 3 kutoka chini .
 
Ni ya 93 kati ya nchi 93? Ni nchi ngapi zimefanyiwa utafiti? Ni ulimwengu mzima? Tunatakiwa tuwe wa mwisho
 
RIPOTI ya mwaka 2018 inayotolewa na taasisi ya Waandishi wa Habari Wasio na Mipaka (RSF), kuhusu uhuru wa vyombo vya habari katika mwaka uliopita, inaonyesha kwamba ndani ya mwaka mmoja Tanzania imeporomoka kwa hatua 10 kutoka ilipokuwa mwaka jana.

Katika ripoti ya 2017 Tanzania ilishika nafasi ya 83 kati ya nchi 180 zilizofanyiwa utafiti. Mwaka huu imeshika nafasi ya 93.

Miongoni mwa sababu zilizoshusha nchi hiyo katika katika mwaka 2017, kwa mujibu wa utafiti huo wa RSF, ni vitisho vya serikali dhidi ya vyombo vya habari kufungia magazeti, kufungua mashitaka dhidi ya waandishi, wahariri na wamiliki wa vyombo vya habari, kutisha na kuteka waandishi wa habari.

19223198_303.jpg

Baadhi ya matukio yaliyoshusha heshima ya Tanzania ni pamoja na Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kuvamia kituo cha Clouds FM, serikali kushitaki Maxence Mello, mmiliki wa mtando wa Jamii Forums, na “watu wasiojulikana” kuteka na kumpoteza Azory Gwanda, mwandishi wa gazeti la Mwananchi.

Miongoni mwa sheria mbaya ambazo zimekuwa zinatumiwa na serikali kuminya uhuru wa habari ni pamoja na Sheria ya Takwimu, Sheria ya Mitandao, na Sheria ya Huduma za Habari, ambazo serikali ya awamu ya tano imezitumia kuzuia vyombo vya habari kuandika habari zinazoibua kashfa za serikali, na kutisha au kushitaki waandishi wa habari au kufungia vyombo vya habari.

Taarifa zaidi kuhusu ripoti hiyo unapatikana katika tovuti ya RSF, yenye makao makuu nchini Ufaransa – Tanzania : “Bulldozing” the media | Reporters without borders

Source: www.sautikubwa.org
Elewa hakuna uhuru usio na mipaka
 
Sawa...
 
Kuporomoka huku basi unapenda upande mwingine.
Nchi ya watu wenye furaha zaidi
 
Kwani za mwisho duniani ni zipi?

Ningependa kufahamu 10 best from top & bottom
 
Je, hapo kwenye nyekundu kubwa, utekaji nao unafanywa na mfungia magazeti kwa mujibu wa orodha hii?
Kwa mantiki nyingine ya neno hilo, ni kwamba waandishi kutekwa kwa kuandika habari/Makala za kweli (Hususan za Kiuchunguzi) na kulazimisha kutoandika au kupindisha ukweli ndio kumepelekea kushuka kwa uhuru wa kuandika habari sahihi kutokana na waandishi wengi kuhofia maisha yao...umenipatamo?!
 
Back
Top Bottom