albuluushiy
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 1,404
- 687
Serikali ya Tanzania imekataa rasmi kutambua ndoa za jinsia moja (ushoga) kama moja ya agenda za maendeleo katika malengo ya milenia 2015 mpaka 2030 katika mkutano wa Umoja wa Mataifa.
Akizungumza jijini Dar es Salaam waziri wa mambo ya nje na mgombea urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mhe.Bernard Membe amesema serikali ya Tanzania imekataa kutambua ushoga kama moja ya agenda za maendeleo.
Hongera Membe huu ndio msimamo tunaoutaka.