Tanzania yapigilia msumari ushoga

Tanzania yapigilia msumari ushoga

i said it and im saying,ushoga Tanzania upo na umekubaliwa kiaina.Ila hii nchi hata ndoa za waume na wake kwasasa ni adimu,za mashoga ndo zitakua na haraka?Kina rio paul,ally remtula,paco decor,bilal mashauzi mbona wanajiposti na mabwana zao live and nobody says a thing?Halafu baa moja almaarufu znz inajulikana ni mashoga ila ndio viongozi woote hawapumui bila kwenda hapo...wahalalisheje tena wandugu?
ha!ha!ha! karibuni Zenji kwa Raju kupiga "papuchi pori"
 
Kwa sababu Nchi wafadhili wamekomaa na misaada? Teh Xkroo bana.
 
Kama ni great thinker utatambua kuwa dhumuni la thread hii ni kampeni za uraisi tu,sababu kama mtoa thread alikuwa ana nia ya kutupasha habari hakuwa na haja ya kuandika mgombea uraisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania,by the way hiyo Tanzania anayo izungumzia labda ipo nje ya Africa sababu Tanzania yetu ambayo ipo Africa mchakato wa kuwatafuta wagombea uraisi bado,me ningependa kutoa rai tu kwa wapambe wa watu walio onyesha nia za kugombea uraisi ukitaka kuweka thread ya kumnadi mtu wako jaribu kuandika je atafanyeje kuwakwamua watanzania hawa waliokata tamaa kwenye hii hari ngumu ya maisha waliyo nayo,na sio sera nyepesi kama hizi,sababu hata ushoga ukiangalia hali ngumu ya maisha imechangia baadhi ya vijana kujiingiza kwenye vitendo hivi.
 
Back
Top Bottom