Tanzania yapatiwa mfumo wa VAR Toka CAF

Saguda47

JF-Expert Member
May 1, 2016
10,773
18,650
Akizungumza katika mkutano wa 18 wa TFF rais wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania Wallace Karia amesema wamepatiwa mfumo wa VAR Toka CAF ambao utafungwa uwanja wa Benjamin Mkapa.

Pia ameongeza kuwa wanatarajia kufunga mfumo wa VAR katika uwanja wa Amani.
 
Wamuweke Manara awe controller wa huo mfumo
 
Jana mechi ya Al Ahly na Al Ittad dakika ya 88 Modeste anaingia na dakika ya 90 anatolewa kwa kadi nyekundu

Hili ni tukio ambalo ukiangalia halikustahili kabisa kuamuliwa kwa maamuzi ya straight red card lakini hadi VAR nayo ilihusika kwenye hii dhuluma

Na ndio hapo wakapata advantage ya kuweza kupata bao la kufuta machozi ila bila hivyo wakina Benzema na Kante walikuwa wanakufa tatu bila.
 
Naunga mkono hoja
 
Bila ya kuwa Atheist Kungwi na Makolokolo SC fan ubongo wako ngekuwa sasa hivi maabara kufanyiwa uchunguzi na Wanasayansi una madini gani hadi uwe na akili zenye akili nyingi sana

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
itasaidia maana kuna timu moja inalalamika sana lakini yenyewe inaongoza kwa maamuzi ya kubebwa. Kuna kipindi TFF walikuwa wanaweka waamuzi sita lakini ilikuwa haisaidii kama penati aliyopewa Kisinda baada ya faulo kufanyika nje ya box waamuzi wote waliojaa walishindwa kuona kosa.
 
Kwa bongo hiyo VAR naamini bado marefa wetu watakuwa wanatoa maamuzi Yao yale yale.Kama marefa basi wataamua kuwa na weledi naona malalamiko kwa Simba na Yanga kupinga maamuzi ya VAR kwani walishazowea kuzionea timu ndogo.
 
itasaidia maana kuna timu moja inalalamika sana lakini yenyewe inaongoza kwa maamuzi ya kubebwa. Kuna kipindi TFF walikuwa wanaweka waamuzi sita lakini ilikuwa haisaidii kama penati aliyopewa Kisinda baada ya faulo kufanyika nje ya box waamuzi wote waliojaa walishindwa kuona kosa.
Kwa Tanzania haitasaidia,mpaka marefa wanaokaa kule kwa VAR wataharibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
itasaidia maana kuna timu moja inalalamika sana lakini yenyewe inaongoza kwa maamuzi ya kubebwa. Kuna kipindi TFF walikuwa wanaweka waamuzi sita lakini ilikuwa haisaidii kama penati aliyopewa Kisinda baada ya faulo kufanyika nje ya box waamuzi wote waliojaa walishindwa kuona kosa.
Au ile alopewa kagere gemu na yanga kwa yondan
 
Back
Top Bottom