Tanzania yapaa Kiuchumi - sasa ni ya 12 AFRICA

watanzania kwa data za kwenye makaratasi hamjambo - haya tudanganyeni sisi ambao hatujui hata maana na neno uchumi.
 
Rekodi Mpya kwa Uchumi wa Tanzania,Sasa ni ya 12 kwa Uchumi Barani Afrika

Kwa mujibu wa ripoti ya shirika la kijasusi la Marekani, CIA iitwayo The World Fact Book, Tanzania ni nchi ya 12 kiuchumi barani Afrika na 83 duniani.

Shirika lipo Marekani hizo data wamepata wapi we nchi mpk tooth pick ni import from China unasema uchumi umekuwa?Leo hii mshahara wa 200000 utadhani umelipwa 40000?
 
Tusijisifu wakati tunaona mapungufu makubwa bado, tunao uwezo wa kuwa wa kwanza Afrika - dhahabu, almasi, tanzanite, uranium, gas, nk na uwezekano wa kupata mafuta, ardhi kubwa na nzuri; mito yenye maji muda wote, maziwa na bahari, misitu nk hata maeneo ya ukame tungeweza kuyabadili yakafaa kwa kilimo. Nchi tajiri, tulipaswa kuwa juu si Africa tu bali hata ulimwenguni. Tatizo ubadhirifu, kila mtu anajiangalia kwa nafasi aliyopewa, personal interests zimekuwa above national interests. Hata kizazi tulichounda sasa ni cha kutaka kutajirika haraka, kwa nja halali au la sio la msingi, kila mtu anataka kuona Big Results kwake binafsi. Wachache wenye uchungu na nchi hii na kwa kuwa mtu akiiba anasifiwa, anaonekana mjanja, mtu wa deal - ndio jamii inavyomuangalia inahitajika juhudi kubwa kubadili mtizamo wa jamii nzima. Ndio maana ni muhimu atawale dikteta atakayechapa watu bakora kama alivyosema mwalimu - ukila rushwa bakora sita unapoingia gerezani na sita unapotoka ukamwonyeshe mkeo - ili watu washike adabu kwanza, hata kwa miaka mitano tu. Wala rushwa na watoa rushwa, wezi na mafisadi, nk bakora zitembee nchi itanyooka. Ndipo sasa tutaona matokeo makubwa yanayoweza kutupeleka nafasi ya kwanza Africa.
 
Changa la macho hilo ili kumtia moyo mwananchi mlalahoi...mbna mifukoni na kwenye biashara zetu mambo bado sio mazuri?..au ni uchumi wa nn hasa uliotufikisha hapo?
 
USA may not have the largest per capita income but when it comes to general human development,it ranks better than china,South Africa,Brazil,Russia or India.Wel,sometimes wealth is not everything a human being requires to live a happy life.Countries like Japan,Germany,Finland and Britain just to name a few are a perfect example of wholly developed economies ie their citizens have an all round excellent standard of living.
 
Labda hizo nyingine...Rwanda hata tugawanye kwa idadi ya watu bado iko nyuma yetu...

Na tunajua kuwa hiyo ni GDP; na ndio maana US ni taifa kubwa kiuchumi wakati haiongozi kwa GDP per capita duniani...
USA may not have the largest per capita income but when it comes to general human development,it ranks better than china,South Africa,Brazil,Russia or India.Wel,sometimes wealth is not everything a human being requires to live a happy life.Countries like Japan,Germany,Finland and Britain just to name a few are a perfect example of wholly developed economies ie their citizens have an all round excellent standard of living.
 
why u menton this person to me? i hate this guy

usijali tutawpa na wachaga wenzio wapiga disco ufurah_lakin kwa taarifa yako hao ndio wez na wazinz wakubwa sijui kama watanzania watawakubali_usimzungumzie JK in perspective ya hapo ulipo ----- wewe, tembea Tanzania ndio utajua kafanya nin in terms of Social Services
 
Mwenye macho haambiwi tazama, mwenye masikio haambiwi sikia.

Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete katupaisha kila nyanja.

Mahasidi hawakubali, roho zinawauma na vijiba vya roho. Vimewakwama.

Keep it up Kikwete.

Uchumi kupitia CIA, kama ni kweli uchumi umepanda ni kwa sababu ya wananchi kujituma, uchumi unapanda kwa kuongeza deni la taifa?
 
usijali tutawpa na wachaga wenzio wapiga disco ufurah_lakin kwa taarifa yako hao ndio wez na wazinz wakubwa sijui kama watanzania watawakubali_usimzungumzie JK in perspective ya hapo ulipo ----- wewe, tembea Tanzania ndio utajua kafanya nin in terms of Social Services
akili yako imefungwa sana
 
Data tu hizo za kufanya watu wajisahau, Uchumi unakua huku maskini mtaani wanaongezeka idadi daily
 
Back
Top Bottom