Tanzania yapaa Kiuchumi - sasa ni ya 12 AFRICA

nadhan hawa majasusi wamekosea kusema 'uchumi' labda ugaidi na ukiukwaji wa demokrasia na haki za binadamu. Kibanda na Dr. Ulimboka njoo huku mniunge mkono..
 
CCM minions love to hear what they want to hear,What a bunch of brain-washed morons!!!
 
Kwa uchumi wa makabrasha tutaambiwa hata niya 2 africa.nimekua nikifatilia siku zote vigezo vinavyoangaliwa na hawajamb nikirudi kuangalia uhalisia wa mambo nabaki kuguna
 
Ukiona hivi kuna watu wanataka kuanza kuuza risasi na mabomu!Yaani imekuwa ya 12 Afrika wakati kuna shule hadi leo hawajawahi kuona dawati zaidi ya kuliona kwenye picha?!Hebu acheni kuwatia machungu watanzania!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom