Clouds fm wadaku tu, hawana lolote.Vipindi vyao vingi ni kutongozea watu tu. Na uchafu wa kuharibu jamii.
Jeshi bora wangechoma kambi nzima na kuuwa wananchi bila mpango?
Mabomu wameyahifadhi kama nyanya! Na maafande wenyewe asilimi 90% wavuta bangi. Ukipishana nao macho mekunduu ka nyani kanyimwa ndizi.
Tuombe Mungu tu! Lkn wakija wazee wa gasia hapo bongo hilo jeshi njaa litauwa raia wengi kuliko maadui.
Kama wale wajaluo wa kenya na ile issue ya west gate.