Tanzania yapaa kijeshi Duniani

Story za kwenye kijiwe cha kahawa na kashata!
 

You are my biggest foe when it comes to political and religious stances but on this one we are on the same boat,Thanks for making my day!
 
Pole sana mkuu! Nakushauri uendelee kusifia nchi jirani.

haaaa bora umenisaidia,hata wamarekani wanasema obama is the worst president lakin when it comes kwenye matters za usa,hakuna wa kuponda,naipenda tanzania
 
Kwa mujibu wa Clouds...hii ni taarifa kutoka kurugenzi ya habari Ikulu....
 
Kwa mujibu wa Clouds...hii ni taarifa kutoka kurugenzi ya habari Ikulu....

nashangaa mijitu inaanza ubishi,mimi mwenyewe nimefuatilia,watu wanadhani congo ilikuwa kazi ndogo,hawajiulizi kwanini kagame kaufyata muda mfupi tangu adondokee pua kule congo?
 
You are my biggest foe when it comes to political and religious stances but on this one we are on the same boat,Thanks for making my day!

I always tells the truth, its you who choose what to accept and what to reject.

I ain't a flag following the wind!
 
challenges,ila upande wa pili we are the best africa,ukiingia kwenye web ukaona vikosi tulivyopangwa navyo ,unasikia mdomo unaimba tanzania tanzania,bla ccm,tungekuwa na kila kitu bora,fufuka nyerere na tanu
 

Ongezea na kwamba hata toothpicks na tissue paper tunaagiza toka China, majanga!!!!
 

Aisee mkuu ni kweli hatuwezi jisifia ujinga wakati hali ni mbaya
 


Hawa ndio Watanzania na Tanzania yao, amazing!
Those men in combat going sleepless are nothing to you, infantry soldiers risking lives for your nation are cowards to you, amazing!
Just for your information, mtu yeyote anapojaribu kulinganisha ufanisi wa majeshi anazingatia real performance katika uwanja wa vita, yes on the field nidhamu, ufanisi, ushindi and the like. Timu bora ni ile inayoshindana na kushinda mashindano, usiposhindana kamwe hatuwezi kusema we ni mkali!
 
Hii issue ipo kwenye site AtChuup! Chini ya kichwa cha habari " 35 Most Badass Elite Fighting Unit From Around the World"

Aidha kuna Google group kwa jina la Wanabidii nao wanaijadiri huko. Kikosi cha Tanzania kilichopo kwenye list hiyo ni kile kilichokwenda Congo na wapo katika nafasi ya 27 chini ya jina la Tanzania Special Forces in Congo
 
Nilichokigundua humu watu wengi wamepoteza uzalendo muda wote wanafikiria kupinga.
 
Yale maonyesho ya watu waliokomaa pale uwanja wa Shamba la bibi, kumbe yametupandisha chati eeh...


What if they have gone through a kind of this stuff;

Training is very extensive and begins with the Army's assessment of the recruit's possession of 12 attributes: intelligence, physical fitness, motivation, trustworthiness, accountability, maturity, stability, judgment, decisiveness, teamwork, influence, and communications. 40% of applicants satisfy the Army that they have these attributes. Final training consists of various endurance courses, carrying heavy backpacks over 40 miles of rugged terrain, with nothing but a live chicken and a knife, day and night. If the recruit can make a fire, he can eat the chicken cooked. He is not given matches or a lighter. He is allowed only a compass and his own hand-drawn map, completed from earlier reconnaissance courses.
 

http://atchuup.com/badass-elite-fighting-units/
 

hujasikiliza vizuri kama kweli wamesema hivyo wamekudanganya ukitaka kupata ukweli ingia google hata katika nchi bora 10 zenye jeshi zuri africa haimo mkuu.
 
Tanzania Army is the best army in Africa....hilo ndio fact....matatizo yetu mengine tutayajadili kwenye mada zingine......kuna mjadala nilikuwa nafatilia hata comments nyingi za Wanaigeria walikuwa wanakiri Tanzania tuna jeshi bora....hasa kichapo walichopata M23 kimetupaisha sana plus historia nzuri ya jeshi letu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…