Tanzania yapaa kijeshi Duniani

Tanzania yapaa kijeshi Duniani

tofauti na wengi wanavyojua,tanzania imeanza kutajwa na mitandao mbalimbali kati ya vikosi 35 bora zaidi duniani kwa vifaa bora,mafunzo sahihi na uwezo wa kupigana kwenye mazingira yoyote,dunia imeshangazwa na ufanisi wa jwtz kongo kwani chini ya kapeti rwanda haikukubali kirahisi m23 kushindwa,na ni nchi pekee kutoka africa huku asia ikitoa nchi kadhaa,sasa tanzania inawekwa level moja na seal ya usa,special force ya israel na wakali wengine,
source clouds fm na website mbalimbali
Source yako ni clouds fm, hao wanajua umbeya na kuusifia watu , wao na masuala ya kijeshi wapi na wapi? Acheni kutii aibu jukwaa hili
 
Hizi ni sifa za kijinga, Nchi inadaiwa trillions 30 deni la taifa...

Dawa Hospitali hakuna, hata CT SCAn katika hospitali za taifa hakuna

chakula tunaagiza nje kama mchele na ngano wakati tuna mashamba...

Ajira ni bomu, ajira 70 wanagombania graduates 10,000

Div 5 za form 4 mass failure

Kuna mengi ya kusema.....
 
Mkuu source ni Clouds fm.

tofauti na wengi wanavyojua,tanzania imeanza kutajwa na mitandao mbalimbali kati ya vikosi 35 bora zaidi duniani kwa vifaa bora,mafunzo sahihi na uwezo wa kupigana kwenye mazingira yoyote,dunia imeshangazwa na ufanisi wa jwtz kongo kwani chini ya kapeti rwanda haikukubali kirahisi m23 kushindwa,na ni nchi pekee kutoka africa huku asia ikitoa nchi kadhaa,sasa tanzania inawekwa level moja na seal ya usa,special force ya israel na wakali wengine,
source clouds fm na website mbalimbali
 
wamesoma taarifa kutoka kwenye source nyingine mkuu,mimi mwenyewe nmetafuta hiyo site nikasoma,tatizo nmeshindwa kuweka link,mwenye uwezo acheck google 35 elite forces in the world then aweke link hapa,mimi binafsi nashindwa
 
Acha kujiaibisha , kuna visite vinca onyesha kuwa boko haram ni jeshi imara kuliko la Marekani ......
 
mkuu nini kimekuuma?hutaku unaacha,kwani umekabwa?
 
sometimes tumia ubongo hata kidogo,kuna vitu naona kama sio vya uwezo wako ,unajua kuwa vilivyo bora leo jana yake viliaminishwa kuwa ni bora kabla ya wakat wake? hujaelewa
 
Hii habari ilinivutia mwanzo,
lakini alipotaja chanzo nikabaki nimeduwaa!
He,clouds?
 
Kama ni kweli basi safi sana na waendelee kufanya kazi kwa weledi
 
tofauti na wengi wanavyojua,tanzania imeanza kutajwa na mitandao mbalimbali kati ya vikosi 35 bora zaidi duniani kwa vifaa bora,mafunzo sahihi na uwezo wa kupigana kwenye mazingira yoyote,dunia imeshangazwa na ufanisi wa jwtz kongo kwani chini ya kapeti rwanda haikukubali kirahisi m23 kushindwa,na ni nchi pekee kutoka africa huku asia ikitoa nchi kadhaa,sasa tanzania inawekwa level moja na seal ya usa,special force ya israel na wakali wengine,
source clouds fm na website mbalimbali

Wacha kudanganya watu wewe.
Clouds fm wadaku tu, hawana lolote.

Vipindi vyao vingi ni kutongozea watu tu. Na uchafu wa kuharibu jamii.

Jeshi bora wangechoma kambi nzima na kuuwa wananchi bila mpango?

Mabomu wameyahifadhi kama nyanya! Na maafande wenyewe asilimi 90% wavuta bangi. Ukipishana nao macho mekunduu ka nyani kanyimwa ndizi.

Tuombe Mungu tu! Lkn wakija wazee wa gasia hapo bongo hilo jeshi njaa litauwa raia wengi kuliko maadui.
Kama wale wajaluo wa kenya na ile issue ya west gate.
 
sometimes tumia ubongo hata kidogo,kuna vitu naona kama sio vya uwezo wako ,unajua kuwa vilivyo bora leo jana yake viliaminishwa kuwa ni bora kabla ya wakat wake? Hujaelewa

mr. Naamini hujui kitengo cha taaifa za kijeshi zipoje na zinatuikaje, ni pm niko huku mbali sana ihumwa hapa ikupe data ili siku nyingine uongo wako tuuamini.
 
OFFREY BARATHEON 18:09 Today
Tenda hazijatangazwa lakini LADWA anapewa
mabarua ya kununua haya madege
Hivi waswahili na nyinyi mko wapi? Kwa nini hizi
hardware zote wapewe hawa wahindi tuu?
JOFFREY BARATHEON 18:10 Today
http://---------------------/threads...KOPTA-
ZA-JWTZ?
 
wamesoma taarifa kutoka kwenye source nyingine mkuu,mimi mwenyewe nmetafuta hiyo site nikasoma,tatizo nmeshindwa kuweka link,mwenye uwezo acheck google 35 elite forces in the world then aweke link hapa,mimi binafsi nashindwa

Duh hata copy & paste imekushinda? siamin
 
Hizi ni sifa za kijinga, Nchi inadaiwa trillions 30 deni la taifa...

Dawa Hospitali hakuna, hata CT SCAn katika hospitali za taifa hakuna

chakula tunaagiza nje kama mchele na ngano wakati tuna mashamba...

Ajira ni bomu, ajira 70 wanagombania graduates 10,000

Div 5 za form 4 mass failure

Kuna mengi ya kusema.....

Pole sana mkuu! Nakushauri uendelee kusifia nchi jirani.
 
Back
Top Bottom