katika pitapita zangu na kwa udaku wangu katika vyombo mabalimbali na kukusanya mawazo mbalimbali kutoka katika vyanzo vya ndani na nje yetu na kuweka rank, nchi yetu imepaa juu zaidi ya nchi zilizoendelea na zinazoendelea katika haya:
1. ni nchi ya kwanza kujiripua kwa mambomu yenyewe na huku ikidai nchi ya amani.
2. Ni nchi ya kwanza kufanyia operation mgonjwa kichwa badala ya mguu.
3. Ni nchi ya kwanza kuwa na utajiri wa madini ( Tanzanite) lakini wananchi wake walio wengi hawayajui na wala hawafaidiki nayo.

Upo sahihi, lakini pia kuna mengi ambayo utatambua ukiendelea na utafiti wako wa udaku
Kuendelea kuikashifu nchi na Serikali itasaidia nini? Thread kibao za kashfa tupu. Hivi mkianzisha thread za kutoa miongozo ya namnya ya kuleta maendeleo si utakuwa mchango mzuri tu. Amini wako watakaochukua mawazo yenu na kuyafanyia kazi. Maendeleo yanaletwa na wananchi wenyewe.
Kumbe hata uchosoma hukielewi......
nimespecify Tanzanite>>.>>>>
Hapana usiseme uongo huku "specify" Tanzanite, Tanzanite umeweka kwenye bracket. ulicho specify ni hiki hapa, nimebandua na kuibandika hapa chini.:
"3. Ni nchi ya kwanza kuwa na utajiri wa madini ( Tanzanite) lakini wananchi wake walio wengi hawayajui na wala hawafaidiki nayo"
la kwanza labda, lakini hayo mengine sio kwelikatika pitapita zangu na kwa udaku wangu katika vyombo mabalimbali na kukusanya mawazo mbalimbali kutoka katika vyanzo vya ndani na nje yetu na kuweka rank, nchi yetu imepaa juu zaidi ya nchi zilizoendelea na zinazoendelea katika haya:
1. ni nchi ya kwanza kujiripua kwa mambomu yenyewe na huku ikidai nchi ya amani.
2. Ni nchi ya kwanza kufanyia operation mgonjwa kichwa badala ya mguu.
3. Ni nchi ya kwanza kuwa na utajiri wa madini ( Tanzanite) lakini wananchi wake walio wengi hawayajui na wala hawafaidiki nayo.
Na hata kama ulimaanisha Tanzanite ndio iifanye Tanzania kuwa nchi nya kwanza kwa utajiri, basi upo wrong vilevile, Tanzanite inachimbwa sehemu moja tu Tanzania kwa sasa na kiwango kinachotoka hakiwezi kuifanya nchi ya watu zaidi ya Million 40 kuwa Tajiri.
Tanzania tunao utajiri wa madini, lakini kwa sasa hatujafikia kuwa wa "kwanza".
Umekuja na udaku bila kuufanyia utafiti, majibu yako haya hapa:
1. ni nchi ya kwanza kujiripua kwa mambomu yenyewe na huku ikidai nchi ya amani.
Soma zaidi: Albania ammunition dump blast kills 5, injures 243 - World News - IBNLive
soma zaidi: Ammo dump blast kills 18 of Iran's elite force - SFGate
soma zaidi: Lagos Armoury Explosion - Wikipedia, the free encyclopedia
2. Ni nchi ya kwanza kufanyia operation mgonjwa kichwa badala ya mguu.
soma hapa: Los Angeles Surgical Error: Wrong Kidney Given to Patient During Transplant Surgery at USC - California Injury Lawyers Blog
soma hapa: Tampa Hospital Starts Surgery on Wrong Patient - Health News | Current Health News | Medical News - FOXNews.com
soma hapa: Wrong-Site, Wrong-Procedure, and Wrong-Patient Surgery
3. Ni nchi ya kwanza kuwa na utajiri wa madini ( Tanzanite) lakini wananchi wake walio wengi hawayajui na wala hawafaidiki nayo.
Uongo, Tanzania inazo Tanzanite lakini sio kuwa "Ni nchi ya kwanza kuwa na utajiri wa madini" kama unavyotaka ieleweke.
Hizi ndio nchi zenye utajiri wa madini duniani< Tanzania bado hatujafikia huko kwa sasa:
World's richest mining countries.
South Africa, with more than $2.5 trillion in mineral reserves, is the world's richest nation by "commodity wealth", a Citigroup report shows. This is largely due to its deposits of platinum group metals (PGMs).
Russia and Australia came in second and third. The report put Russia's iron ore reserves at $794bn, while Australia, the world's second-largest supplier of seaborne ore, has reserves valued at $737bn.
Ukraine has $510bn of iron ore deposits.
Guinea has $222bn of bauxite (aluminium ore) reserves.
India and Kazakhstan also each have more than $200bn on non-energy, reserve wealth and more than 100 years of average mine life at current rates, the bank found.
According to the data from Citigroup and the US Geological survey, there's an average reserve life of just 17 years in China's mines. The country is expected to continue investing in global metals and mining to secure supply.
Source: Telegraph.co.uk
Naomba mkiandika habari zingine mzifanyie kautafiti kadogo tu na msidanganye watu.