Tanzania yaongoza Afrika kwa kuvutia wawekezaji kutoka China

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
Tanzania ndio nchi pekee ya Afrika inayoongoza kwa vivutio vingi vya uwekezaji kuiwezesha nchi kuwa na ukuaji wa kasi wa kiuchumi.

Hayo yamesemwa na afisa wa Ubalozi wa China nchini anayehusika na Biashara na Uchumi Lin Zhiyong wakati wa hafla ya ufunguzi wa kampuni ya AVIC-SHANTUL inayohisika na uuzaji wa vifaa vya ujenzi.

Amesema kuwa China imeichagua Tanzania kuwa sehemu ya uwekezaji kwa sababu ya utulivu na amani uliothibitishwa na uchaguzi ulioisha siku za karibuni.

=========================
Tanzania is the only African country blessed with more investment attractions to enable the nation to develop rapid economic growth.

The remarks were made by Chinese Embassy Head of Trade and Economy Lin Zhiyong during the launching ceremony of AVIC-SHANTUL Company for selling construction equipment.

He said China has selected Tanzania to be a place of investment due to its characteristics including peace and harmony that has been confirmed by the just-ended peaceful general election.

Apart from existence of peace and harmony, Tanzania is rich in resources such as iron, natural gas, minerals and other resources which have attracted a lot of investors from China.

China continues to adjust itself to become the World's economy leader putting behind United States and other European countries by finding new and important investment areas and Tanzania is our first priority, Lin reiterated.

On the same note the Ministry of Trade and Industry Permanent Secretary Uledi Mussa said the aim of the government is to utilize the available industries and trade in developing the economy.

Recently there had been fears that investors would flee the country due to the general election but contrary to such fears, Tanzania has proved to the world that it is a safe place to invest due to the existence of peace and harmony and that change of leadership does not disrupt the peace and security.

Talking through the phone with this website, The Economist Prof. Ibrahim Lipumba said investors should have nothing to worry about because the existing peace and harmony means greater stability to the nation's economy and there is no reason for the investors to fear anything.

Chinese sources indicate that as at the end of last year, Chinese investments in Tanzania had totalled four billion US dollars (over TZS 8 Trillion) with more than 500 Chinese companies operating in the country.

Source: PesaTimes
 
Ebu chukua hizo 8 trillions gawanya kwa hayo makampuni 500 tujue wastani wake hapo ndio tutajua ni wawekezaji au waganga njaa
 
Ajabu mafanikio ya tz ni kuweza kuvutia wazungu sio kuvutia watz.
Hata mwanamke akivutia sana anaweza kuwa cha wote.
 
kwa sababu pembe za tembo nyingi zinaenda china hawa watu hawafai magufuli wafukuzie mbali huko
 
Amedanganya wakati wachina wamejenga mall zao south Africa johannesburg tuu hazipungui 50 izo ni kama mlimani city,china mall,dragon cty,china cty majina ndio hayo hayo mall tofauti acha majiji mengine kama durban,port elizabeth,capetwn,mesina makampuni ya ujenzi na ulinzi ni wao wachina ss hapa kwetu itafikia sijui miaka mingapi kufananisha na uwekezaji wanaoufanya South Africa harafu huku wanakuja kutudanganya na vtu vya china south Africa ni bora..
 
Wametuona kuwa sisi ni Maboya.
 
Hayo ndio wamepanga kuyafanya bagamoyo watu mkalalamika nchi imeuzwa kwa wachina.watajenga malls za kufa mtu na viwanda
 
wachina wana engage on very small scale business huu uwekezaji wa hv hauna tija wengi wanabanana na ndugu zetu k/koo pale uwekezaji wa namna hii sio health
 
Pembe za ndovu ndo kitu cha pekee wanachofuata hayo mambo mengine ni geresha tu ili kujisafisha full stop
 
Serikali ingejisifu kama ingewawezesha wananchi wake kiuchumi.

Maswala ya kuleta wawekezaji wengi ni kujidunga dawa ya kuzuia maumivu wakati bado tatizo lipo pale pale.
 
Si kwa sababu si ni wakutegemea kila ki2 tufanyiwe,ata viwanda vyetu wenyewe hatuna
 
Back
Top Bottom