Tanzania Yaomba Msaada wa Kiufundi Kutoka China Kusaidia Mabadiliko ya Sera ya Elimu.

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,128
49,849
Kuomba Msaada ukishindwa ni uungwana ila Je ni kweli hatuna wasomi wanaoweza kufikiria vyema Hadi tuite Wachina?
 
Hivi sisi km sisi kuna kitu tunaweza?
Km vp hii wazara ya Elimu nayo wapewe DP world, maana tumezidi kua omba omba na kutafuta shortcut...
kila kitu tunaomba omba msaada...
 
Back
Top Bottom