Simba Mwepesi
Member
- Nov 17, 2022
- 19
- 11
Tanzania nchi yangu. Nimekuwa kwako toka nimezaliwa mpaka Sasa Nina wajukuu. Mengi nimejionea na kila uchaguzi mengi nayaona.
Mazuri yapo na mabaya pia Ila siku zote tumeweza kuvumiliana bila kuvunjiana adabu wala miiko. Natamani iwepo kamati itakayo simamia malengo ya nchi ya muda mrefu ambayo kila kiongozi atakaye ingia ajue na kuyafuata.
Sio kila kiongozi akiingia anakuwa na lake mwishoe tukumbuke miluzi msingi humpotosha mbwa. Nawaza juu ya uwazi wa Mali za viongozi na uhalali wake, iwepo Sheria itakayolazimisha kiongozi kutaja Mali zake kabla na baada ya kuachia madaraka ikiwa ni pamoja na wenza na watoto wao na ndugu wa karibu. Mali za nchi kuliwa na ukoo mmoja sio sawa, sote tufaidike.