Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,380
- 2,826
Vyuo bongo hamna kitu..Alafu kuna wajinga wanadharau vyuo vyetu, mwisho unakuta vijana wanabaki kufanya kazi China
Ulitakiwa ujiulize hicho walichosoma na kushinda ni mtaala wa Tanzania au China.Alafu kuna wajinga wanadharau vyuo vyetu, mwisho unakuta vijana wanabaki kufanya kazi China
Kwa uelewa wako hao UDOM, DIT na UDSM wana mtaala wa Tanzania au China?Ulitakiwa ujiulize hicho walichosoma na kushinda ni mtaala wa Tanzania au China.
Hao hua wanasoma course maalum za huawei. Hizo course hutolewa na huawei wenyewe kulingana na technolojia yao wanayotaka waijue. Tafuta mtandaoni huawei Talent au ICT Competition ujifunze zaidi. Hawasomi somi tu madesa ya bongo na kwenda huko. Ni course specific za huawei wenyewe. Na zaidi wamefingua center kwenye hivyo vyuo vyote na vifaaa wameweka๐๐Kwa uelewa wako hao UDOM, DIT na UDSM wana mtaala wa Tanzania au China?
Ongezea na mitihani wanafanya kuwapata wanaowataka tena inakua online ๐๐Hao hua wanasoma course maalum za huawei. Hizo course hutolewa na huawei wenyewe kulingana na technolojia yao wanayotaka waijue. Tafuta mtandaoni huawei Talent au ICT Competition ujifunze zaidi. Hawasomi somi tu madesa ya bongo na kwenda huko. Ni course specific za huawei wenyewe. Na zaidi wamefingua center kwenye hivyo vyuo vyote na vifaaa wameweka๐๐
Sawa mkuu. Kuna jamaa yangu anacho cheti cha Huawei ila alikipata baada ya kusoma Degree DIT. Hakutoka Form VI kwenda kusoma online Huawei, hao hakuna aliyetoka First year hajui chochote akaenda kusoma huo unaoita mtaala wa China wa Huawei. Bila UDSM, DIT na UDOM hao wasingefanya kitu kwa Huawei.Hao hua wanasoma course maalum za huawei. Hizo course hutolewa na huawei wenyewe kulingana na technolojia yao wanayotaka waijue. Tafuta mtandaoni huawei Talent au ICT Competition ujifunze zaidi. Hawasomi somi tu madesa ya bongo na kwenda huko. Ni course specific za huawei wenyewe. Na zaidi wamefingua center kwenye hivyo vyuo vyote na vifaaa wameweka๐๐
Sawa mkuu. Kwahiyo ni ushirikiano wa wachina na sisi. Lakini elimu yetu bado inasuasua hasa upande wa elimu kwa vitendo, ndio maana hao huawei wametengeneza lab na kuweka vifaa wenyewe kwewnye hivyo vyuo. Unafikiri wangewaacha tu na hii ya kwetu ma madesa kwenye karatasi wangetoboa?Sawa mkuu. Kuna jamaa yangu anacho cheti cha Huawei ila alikipata baada ya kusoma Degree DIT. Hakutoka Form VI kwenda kusoma online Huawei, hao hakuna aliyetoka First year hajui chochote akaenda kusoma huo unaoita mtaala wa China wa Huawei. Bila UDSM, DIT na UDOM hao wasingefanya kitu kwa Huawei.
Hata kuna family friend mtu mzima alienda Japan kusomea mifumo ya Hitachi na akaenda Ujerumani kusomea mifumo ya Siemens kwenye vifaa tiba. Haimaanishi walimuokota vichochoroni akiwa kilaza wakamfundisha, alikuwa tiyari na elimu ya Biomedical Engineering ambayo hakusomea Ujerumani wala Japan.