Tanzania yalipiza kisasi tena, yafunga mpaka wake wa Holili baada ya Kenya kuzuia madereva wa Tanzania kuingia Kenya

Ngojea muwe banned kununua matunda yote Tz Tutaona hayo masoko sijui mtawauzia matumbo yenu. We all know a large part of the fruits that you claim to sale are actually resales,
ha ha niliiwambia hapa, Kuleta matunda kutoka TZ kupeleka nchi za nje ni kibarua sana...
isitoshe, wivu wa Magufuli hauwezi kubali jambo kama hilo..
 
Mwenye wivu ajinyonge, check this ...
View attachment 1468504
Baki na takwimu ila kumbuka tumboni kwako Kuna chakula kiliotoka Nchi gani ? Katika bajeti ya kijeshi ya marekani uchanganye bajeti ya China + Russia lakini bado hata kumkalibia US ,Ila Us huyo huyo anasumbuliwa na Iran kila kukicha na baajeti yake hata haieleweki tukiiweka Kwenye data Sasa wewe ng'ang'ana na data huku ukiwa umekula unga wa TZ , Kitunguu Cha TZ , Nyanya Tz, ndimu Tz, bamia TZ kiaz mbatata TZ harafu umebaki kukumbatia data kwa akili Kama hiyo ungekua huku ningekufanya mbolea tu we Mana huna faida.
 
Hakuna mwenye amewakataza kupima kupima wakenya. Sisi kazi yetu ni kumake sure no Tanzanian driver gets in Kenya without being tested. And if they test positive, we turn them back.
Sisi hatuhitaji kupima wakenya, sisi tunachotaka watanzania wasipimwe na wakenya, hamna hadhi ya kuwapima watanzania ninyi, kama vipi kila mtu abaki kwao, tuone ni nchi gani itakayoteseka.
Fresh row at the Tanzania-Kenya border over Covid-19 tests
 
ha ha niliiwambia hapa, Kuleta matunda kutoka TZ kupeleka nchi za nje ni kibarua sana...
isitoshe, wivu wa Magufuli hauwezi kubali jambo kama hilo..
Jambo moja lazima litafanyika, hakuna mtanzania atakayepimwa Kenya, wenyewe mtakubali watanzania kuingia Kenya wakiwa na certificates toka Tanzania, tena wala sio siku nyingi, kama sio Leo ni Kesho utasikia Kenya imekubali kuwaruhusu watanzania bila kuwapima tena.
 
Maybe Kenya wa Jupiter lakini sio wa earth
 
Digest that
Tukizuia malori kuvuka mipaka, lazima mnalegea na kuomba maelewano, hamuwezi kuvumilia malori kizuiliwa Namanga kwa zaidi ya siku 3, ikifika kesho utasikia Kenya imekibali kuwaachia watanzania bila ya kuwapima tena.
 
Your cries is my happiness.
 
I like your lamentations, you should write a lamentation book. I repeat what I said in your last month thread. Kenya will test Tanzanian drivers until that day we fill that we are safe. For those agreement, bakini nazo. But remember siku tutataka hiyo border ifunguliwe your leaders wataifungua by force.
boda imefungwana dc tu.

ongeeni naye maana ndio level za uhuru.
 
Lazima turinge juu hatuchukui bure. You seriously need our money. Wewe ngoja siku mbili uone venye wakulima wenu wataanza kulia.
eti eh.

nyinyi bado ni kenge,wacha tuongeze kuni dawa ichemke sawia.
 
Jambo moja lazima litafanyika, hakuna mtanzania atakayepimwa Kenya, wenyewe mtakubali watanzania kuingia Kenya wakiwa na certificates toka Tanzania, tena wala sio siku nyingi, kama sio Leo ni Kesho utasikia Kenya imekubali kuwaruhusu watanzania bila kuwapima tena.
kila serikali ifanye kulingana na interests zake...
tukutane mbele
 
Ni UJINGA KULIPA KISASI KWA KISASI....Akili za watu humu ni kushangiliana kwa kukomoana hawajui familia ngapi za kitanzania zinaumia na hii hali.... Hili suala lilifaa Viongozi husika kuwapigia wenzao simu Au kuonana nao na kujua nini Tatizo na kuyamaliza.hili suala ni jepesi Kumaliza... Sijaona sababu ya Viongozi wa Mikoa kuonyeshana ubabe WA kijinga ambao hausaidii Tatizo. ......hizi nchi zinategemeana.. Huyu unampa bidhaa Huyu anakupa pesa.. Wakulima wengi wa Tanzania kimbilio ni Kenya wanauza kwa bei nzuri na kubwa.... Wanaoshabikia Badala ya kutoa solutions ni WAJINGA.
 
joto la jiwe
 
Kwahiyo ulitaka Tanzania ifanye nini kama upande wa pili hawataki kuheshimu makubaliano yaliyofikiwa na viongozi wa pande zote mbili?
 
kazi ya waziri ni nini? Kama Kuna Tatizo ni jukumu LA waziri kuwasiliana Na upande Wa pili kujua Tatizo nini... Wao wanasitisha na Nyie mnasitisha... Unadhani anayeumia ni Nani? Ni ndugu yako mkulima wa nyanya ,machungwa, vitunguu etc.....tatizo fikara zetu za watu humu ndani ni kudhani tutawakomoa Wakenya watakosa chakula
 
Back
Top Bottom