Madereva wa Kenya waipigia magoti Tanzania, wapo tayari kupimwa tena waingiapo Tanzania. Ombi lao lakataliwa

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
26,117
46,613
Over 100 truck drivers on transit have been denied entry into Tanzania through the Kenyan border. Reason for this has not been said despite the fact that the one hundred plus drivers have been tested for COVID-19 and test results came back negative

fce0539861fd58d5df7e37a9ae71a647

“We have all been found without the Coronavirus and even have our test certificate that should allow us passage. But still the Tanzanian’s authorities at the border control have refused to let us drive through and deliver our cargo.” One Ali Oman lamented to the journalist

Despite having a valid COVID-19 pass from the Kenyan ministry of health, there still was no through way for these exhausted drivers. After staying at the border for close to a week with very poor living conditions like uncomfortable sleeping conditions, lack of some quality food, still they are denied entry. With some of them carrying very perishable products, they pleaded with the Tanzanian authorities to cross check their results or better yet, conduct another test on them if they are in doubt but all that fell on deaf ears

7a25b6831dd54bd5a95d58cb562c7c71

They are now left wondering why this could be happening yet the two East African States; Tanzania and Kenya have been on the verge of reconciling through the two leaders, Presidents John Pombe Magufuli and his Kenyan counterpart President Uhuru Muigai Kenyatta.

It is a matter of question whether the two leaders really ended their confrontations following disagreements on how to handle the pandemic in their own countries or not. Was it just a charade for the media when things on the ground are very different? This goes unanswered as drivers remain stranded with goods at the Kenyan-Tanzania border.

What are the authorities both from Kenya and Tanzania doing? “Nobody knows…”, according to one Henry Ochieng who is also a conductor in one of the trucks transporting petroleum. It is yet to be established whether authorities from both sides are really not willing to work together to beat the COVID-19 pandemic or are ready to put their differences aside with relation to counter approaches to the pandemic.

Meanwhile the situation is almost the same at the Kenya Uganda border where drivers have been experiencing unworthy treatment from the medical teams there. They protested for delayed results which have caused them a lot. The situation is not different since they cannot access good sleeping conditions like hotels since residents fear them that they must be positive. Also, they have resorted to cooking for themselves on the roadside since there are no hotels that are willing to open and operate.

Business in the border towns is not as usual. A lot closed down and remain that way ever since the Pandemic hit the country and thus the towns at the borders have been experiencing huge economic loss. The health ministry has been asked to fast track the testing processes to reduce on congestion at the border points to allow easy entry and exit of trucks into and out of the country.
#stay home #stay safe #follow my page for more of these and other stories.

Source: Over 100 Truck Drivers Denied Entry Into Tanzania Despite Having COVID-19 Pass and Left Stranded

Tulisema kwamba Kenya haina uwezo wa kupimana ubavu na Tanzania. Kenya ilitaka kuwapima tena madereva wa Tanzania hata baada ya kuonyesha Certificate za Tanzania jambo ambalo madereva wa Tanzania waligoma kupimwa nchini Kenya, jambo lililosababisha Tanzania nayo kuwazuia madereva wa Kenya kuingia Tanzania, sasa hivi madereva wa Kenya wapo tayari kupimwa tena wakiwa Tanzania lakini Tanzania imekataa kuwaruhusu.

MY TAKE; Ni ujinga kupima kina cha mto kwa miguu yote miwili, Hahahaha, Hahahaha
 
Attachments

  • 1591784260676.gif
    1591784260676.gif
    42 bytes · Views: 2
  • 1591784260710.gif
    1591784260710.gif
    42 bytes · Views: 2
Hapa naona unashabikia ujinga tu.S wala la muhimu ni pande zote mbili kufikia muafaka wa nini kifanyike.

Kama swala ni kila dereva aingiapo nhci nyingine apimwe basi iwe hivyo na biashara kuendelea
 
Hapa naona unashabikia ujinga tu.. Swala la muhimu ni pande zote mbili kufikia muafaka wa nini kifanyike.

Kwenye hili suala naona kuna zaidi ya corona, kwa maana limeleta taharuki kipindi cha nyuma na majadiliano yakafanyika. But still tatizo liko pale pale.

Kwenye hili wanaumia zaidi madereva wetu na majirani zetu kuliko viongozi wa hizi nchi
 
Hapa naona unashabikia ujinga tu.. Swala la muhimu ni pande zote mbili kufikia muafaka wa nini kifanyike.

Kama swala ni kila dereva aingiapo nhci nyingine apimwe basi iwe hivyo na biashara kuendelea
Ndicho kilichokubalika katika kikao cha mawaziri wa nchi mbili, lakini Kenya wakakiuka na kutakataa Yale makubaliano bila kuitaarifu Tanzania, wakaanza kuwalazimisha kuwapima madereva wa Tanzania kinyume na mkataba, hatuwezi tena kuendelea kuzungumza na watu wasioaminika, bora kila mtu abaki kwao.
 
Porojo porojo tu kama kawa. Kwani kuna siku hata moja ambapo madereva kutoka Kenya walikataa kupimwa? Mnajifanya mmesahau kwamba shughuli ya kuwapima madereva wa Tz wakiingia Kenya ndio ileleta mgogoro wote kwenye mpaka hapo awali? Hadi GOK ikafunga mpaka na kutoa agizo kwamba madereva tu ndio wanaruhusiwa kuingia, tena baada ya kupimwa na kupatikana kwamba hawana virusi? Maanake hamkutaka wapimwe wala hamkutaka kutangaziwa idadi ya madereva wa Tz ambao walikuwa wamepatikana na COVID-19, mkidai kwamba Tz hakuna Corona. Hii ni 'reverse psychology' au ni serikali yenu ndio imechanganyikiwa? Hakuna dalili zozote ambazo zinaonesha kwamba kuna upimaji wowote unaondelea upande wa Tz, sio kwa raia wa Tz wala wageni. Wiki iliyopita mmepima sampuli ngapi nchini Tz, zilizopatikana +ve nazo ni ngapi? Tupeni takwimu majirani, acheni ubishoo na siasa za peni mbili.
 
Tunachosema hapa ni kwamba, madereva wa Kenya wanaomba kuruhusiwa kuingia Tanzania na wapo tayari kupimwa lakini Tanzania tumekataa, wakati madereva wa Tanzania wakikubali kupimwa huko Kenya wataruhusiwa kuingia Kenya lakini madereva wa Tanzania wamekataa kupimwa Kenya, "who is at the upper hand?"
 
Sisi hatupimi na hatutaki watu wetu wapimwe na nchi yoyote ile, kama hamkubali hilo, kila mtu abaki kwao.
 
Hapa naona unashabikia ujinga tu.. Swala la muhimu ni pande zote mbili kufikia muafaka wa nini kifanyike.

Kama swala ni kila dereva aingiapo nhci nyingine apimwe basi iwe hivyo na biashara kuendelea
Ww unatak wafikie makubaliano gani tena wakat walika wakakubalian hata mwezi haujaish kenya ikavunja makubaliano ..siwanaleta utani hawa..
 
Rais wenu anafanya biashara na nyie kaa hamujui umoja wa ulaya juzi wamemfund 78$ achilia mbali za Mara ya kwanza sasa kupitia Kenya estafrica ilitakiwa iwe locked down iliuchumi wetu ushuke tuwalambe miguu watukopeshe hela huku tukisubiri covid 19 vaccine huo ugojwa unadramatic nyingi Sana na unakuzwa sanaa sasa sisi tumewaprove wrong ni mwendo wa nyungu tuu hapo wazungu wanahaha kwanini hatuact Kama Kenya,kenya nayo kwa vile imekula mahari inaogpa kuonekana wasaliti Koo wanaenda na beat ya mzungu ili wasikosee steps bt mwisho wa siku hiyo mkopo mtalipa nyie
 
Sisi hatupimi na hatutaki watu wetu wapimwe na nchi yoyote ile, kama hamkubali hilo, kila mtu abaki kwao.
Tunachosema hapa ni kwamba, madereva wa Kenya wanaomba kuruhusiwa kuingia Tanzania na wapo tayari kupimwa lakini Tanzania tumekataa, wakati madereva wa Tanzania wakikubali kupimwa huko Kenya wataruhusiwa kuingia Kenya lakini madereva wa Tanzania wamekataa kupimwa Kenya, "who is at the upper hand?"
Upperhand kwenye upumbavu au? Kwa kifupi unashabikia serikali yako inavyojibu hoja, mbinu, na sera za GOK za kulinda afya ya wananchi wa Kenya kwa kukurupuka bila mikakati ya kueleweka kuhusu janga la Corona? Hiyo ndio defination kamili ya ulofa na kubebewa akili. Masharti ya nyumba yangu ni kwamba unapoingia lazima uvue viatu- Rais Uhuru Kenyatta. Hiyo ndio hoja muhimu, zaidi ya hapo hayo mengine ni siasa duni na mateke ya punda mwendawazimu.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK

Sisi tumekataa kuvua viatu na tumeamua kutokuja nyumbani kwako, tumeamua kubaki nyumbani kwetu. Ninyi mnaomba kuvua viatu ili tuwaruhusu kuingia nyumbani kwetu, pia hilo ombi tumelikataa, tunata mrudi kwenu. Hahahaha, Hahahaha.
 
Umechanganyikiwa kweli kweli, ona ulichoandika dakika chache zilizopita.
Tunachosema hapa ni kwamba, madereva wa Kenya wanaomba kuruhusiwa kuingia Tanzania na wapo tayari kupimwa lakini Tanzania tumekataa, wakati madereva wa Tanzania wakikubali kupimwa huko Kenya wataruhusiwa kuingia Kenya lakini madereva wa Tanzania wamekataa kupimwa Kenya, "who is at the upper hand?"
 
Hii ni vita kila Nchi apigane inavyoweza cha kushangaza kenya wanataka Tanzania wapigane kama wao kila siku wanaulizia mmepima watu wangapi.....ninyi kenya inawahusu nn mambo ya Tz, bora mipaka ifungwe tu kila mtu ale jeuri yake.
 
Back
Top Bottom