Tanzania yakumbwa na uhaba wa wanaume zaidi ya milioni moja

Assume kati yao wanaume 500,000 wanaoa mitala wanawake 4
500,000×4=2,000,000
2,000,000-1,353,431=646,569
Kwahiyo kihalisia bado kuna uhitaji wa wanawake 646,569 Tanzania.
NB:Assume all factors are kept constantly
Don't forget to assume also that 50% ya hao wanaume 25,101,967 wana matatizo ya nguvu za Me na hivyo hawawezi kuoa.
50% = 12,550,983 men.
Total upungufu = 13,904,414
Haya hata kama 500,000 wana uwezo wa kuoa wanawake 4 kila mmoja, bado kutakuwa na upungufu wa wanaume 11,904,414!!

NB: Hiyo figure ya 50% ni ya twaweza iliyohoji wanaume 1,000 Tanzania nzima wenye whatsapp kwa utafiti uliofanyika scientifically kwa njia ya whatsapp!
 
Don't forget to assume also that 50% ya hao wanaume 25,101,967 wana matatizo ya nguvu za Me na hivyo hawawezi kuoa.
50% = 12,550,983 men.
Total upungufu = 26,455,398
Sikubaliani na hiyo figure yako ya 50% upungufu wa nguvu za kiume, labda kama hilo tatizo ni la 50% ya nguvu za kiume ni kwa wanaume walioko Dar es salaam na siyo Tanzania nzima.
Wanaume wa mikoani hilo tatizo halipo.
 
Don't forget to assume also that 50% ya hao wanaume 25,101,967 wana matatizo ya nguvu za Me na hivyo hawawezi kuoa.
50% = 12,550,983 men.
Total upungufu = 26,455,398
Haya hata kama 500,000 wana uwezo wa kuoa wanawake 4 kila mmoja, bado kutakuwa na upungufu wa wanaume 24,455,398!

NB: Hiyo figure ya 50% ni ya twaweza iliyohoji wanaume 1,000 Tanzania nzima wenye whatsapp kwa utafiti uliofanyika scientifically kwa njia ya whatsapp!
Hesabu gani hizo?
 
Ha ha ha! Halafu utasikia jamaa wakiitumia kama hoja (dhaifu) kuhalalisha mseto!
 
Back
Top Bottom